Bado una stress za kazini, stress za madeni, umasikini, kutoka kimaisha..wawahurumie masela..Nikazi kubwa sana msichukulie poa.
Huwezi simamia ukucha 40mins, wakati unawaza kulipa kodi...Ukimkumbuka baba mwenye nyumba inanywea yenyeweππ
Nimekuwekea mkeka wako hapo size kubwaπππππ
watu 8 - "Alivyovitarajia sivyo alivyovikuta"Waungwana salama,
Yani week nzima unajiandaa kula tunda na mwenza wako halafu anakuja anakupa kifo cha mende kimoja (style ya mvivu) chaliii amelala hadi asubuhi nguvu hana tena..... unahangaika weee kumuamsha ndo ashalegea hvyoo yani bao moja na kulala fofofo.
Naomba mnielewe yanii anapokojoa anahema vibaya na kuishiwa nguvu kabisa na usingizi juu kwa juu unambeba hadi ninamtikisa kuona kama bado uhai upo au ndo nimeua....
Hebu tafuteni mkongo muongeze hzo nguvu.
Wakoromaji na 30 seconds Nasubiri mawe yangu mnipopoe nimekaa paleee
Watukanaji mje na matusi mapya
Thank u for this useful commentView attachment 2546164View attachment 2546165View attachment 2546166View attachment 2546167View attachment 2546168View attachment 2546169View attachment 2546170View attachment 2546171View attachment 2546172View attachment 2546173View attachment 2546174View attachment 2546175View attachment 2546176View attachment 2546177View attachment 2546178View attachment 2546179View attachment 2546180View attachment 2546181View attachment 2546182View attachment 2546183View attachment 2546184View attachment 2546185View attachment 2546186View attachment 2546187
Umependa zipi hapo ππThank u for this useful comment
Mwenyew umefurahiiiwatu 8 - "Alivyovitarajia sivyo alivyovikuta"
[emoji3][emoji3]
Hebu tupambanie mwanawane kwa mrembo Nakadori ππ π π nao ni binadamu lakini
Mie team second 30 π π π sio type yake na sina hata hela na kitandani siwezi jambo, mwisho anichome motoHebu tupambanie mwanawane kwa mrembo Nakadori π
πππ aunt huyoHakii Nakadori nakugawaaaaπππ! Unataka ua mzee wawatu wewee ππ!!
πππππββοΈπββοΈπββοΈSiwezi teseka juani na msoto wa maisha mchana kutwa niende huku nirudi kule
halafu nirudi nyumbani napo niyaanze mateso mengine ya kupanda juu na kushuka
umshukuru huyo anahema juu juu,mimi nikirudi home ukipta mbele yangu umentega tu
naliachia kojo yani hata sijakushika,naliachia loteee,naptliza bafuni naoga nakmblia bed
Please staki kuguswa nishachoka mimi,kwanza unanigusa ntasikia saa hiyo nakoroma naota mishe za kesho!