Aisee kuna wanaume wavivu

Sa mkuu ushakuwa hohehahe utamla nani hela hakuna??
We baki tu kanisani utuombee toba
Apart from kuwa HOHEHAHE sina na jinsia pia... nikogo kama bakteria au kirusi.

Alafu kabla sijakulana naangaliaga chance na possibility na rate ya kupatwa na U.T.I sugu na magonjwa mengine ya zinaa. Sikulani hovyo na randomly bitches 😊👍🏾

ID's zisikudanganye
 
Nakubali chief. Kuna muda wanaume tutaelewa kuwa hizi Mambo za kugegedana Zina tufelisha na kutupotezea muda Sana.
👉Upotevu wa muda
👉 Upotevu wa pesa na nguvu
👉Kubeba nuksi na mikosii
CONTROLA
.....tatizo wengi wetu huwa tunakuja kugundua hilo ikiwa tayari ni too late....unakuta mtu aliinvest each and everything....tutawin kama tutakuwa tayari kuijifunza kutoka kwa watu waliopitia visa na Mikasa....
 
Ila kumbuka mwanamke wako nae ni bit..ch kwa mwamba flani mahali
 
Ila sijapenda hili jibu Naka... nitue na unikome tafadhali...nimeoa mimi, kwahiyo wife ndo vile sometimes...?!

dahh! 😭
Hahahaha Hadi umerudi kweli limekuuma
Hata mimi ni malaika kwa baadhi ya watu japo unaniona biyaach
Pigia mstari kuna mwamba mahali anajaribia mastaili yake yote kwa mkeo ila hutakaa ujue
 
Hahahaha Hadi umerudi kweli limekuuma
Hata mimi ni malaika kwa baadhi ya watu japo unaniona biyaach
Pigia mstari kuna mwamba mahali anajaribia mastaili yake yote kwa mkeo ila hutakaa ujue
Anajiamini sana huyo mwamba... 😂🙌🏾

Napenda niwe mkweli, mimi ni mwanachama wa kataa ndoa na sijaoa maana kila ninapokimbilia unaniwasha kombora!


Sijaoa na sioi! Ila mpaka nikulane na mwanamama nawaza sana na kupima risk ya magonjwa, nikiona hamna uwezekano nalowekeamo umo dushe langu 😂👍🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…