Aisee kuna wanaume wavivu

Haha kumbe wa kile chama eeh
Haya usiwe unafanya kabisa tulia hivyo hivyo maradh yapo
 
Hapo sasa umeamua kumtolea uvivu anaekufanya unawatolea nje wana Kupiga hiyo nyau kimasihara
 
Inawezekana mwamba kaona hauna maajabu...au kakutana. na shombo imemkata stimu...kaamua ajilalie zake....inabidi ujiulize na wew pia...kaona nin kwangu[emoji23][emoji23][emoji23] unashida gan[emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Soma uzi uelewe nsipo ujibu .
Usijibu kwa mihemuko
 

Wengine hawawezi mishindo. Sisi wanaume tunakutana na wadada wanaweza kwenda masaa matatu show show, lakini kuna mdada mwingine akifika kileleni hawezi tena kuendelea.
 
Utakuwa una bwawa au hana steam.

Na uwe makini asije akakufia kifuani.

Njoo inbobo tupange appointment.nikupe showshow hadi ukimbie usahau kufuli.
 
Utakuwa una bwawa au hana steam.

Na uwe makini asije akakufia kifuani.

Njoo inbobo tupange appointment.nikupe showshow hadi ukimbie usahau kufuli.
We si umesema nna bwawa
Sasa unapangaje miadi na bwawa
 
Mkuu ndio umeamua ufungue Id ya ke ili uuze tule tu vicks twako twa magumashi twa kutokea kongo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…