Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,404
- 5,682
Mimi ni mmoja ya watu wanao amini katika ARDHI hasa zile ambazo hazijaendelea wengi hupenda kuita mapori au bush huko ndio mahali huwa napenda kutupia visent vyangu.
sina tofauti na mtu anae bet kwa muhind maana unaweza nunua pori leo baada ya miaka kadhaa unakuja unaambiwa nusu ya eneo lako ni OPEN SPACE (ENEO LA WAZI) maana yake huruhusiwi fanya lolote,au n Makaburi,au barabara imekatza,nk
japo sijawahi kula hasara yakinikuta hayo huwa natafuta mtu namtwika msalaba wake atajua mbele ya safari huko tusaidiane naendelea na ratba zingine.
Umri umeenda sasa majukumu yanaongezeka muda wa...

- CONTROLA
- ardhi gharama gharama kubwa katika kubwa kuu sababu ukosefu upimaji vifaa
- Replies: 8
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Yani nimesma huu uzi nikajihisi kama niko darasani.
8 years ago JF ilikuwa ni kama online books,
I dont know what really changed here ila mbona bado X imebakia na Conciuos minds.
Ni kwamba hatu wa-appreciate humu ?
What really happened, maan?1😒
Big up CONTROLA cream ya zamani wachache tatizo mnakuja na kusepa 😁, siu hizi tumebaki humu ni Israel vs Kobaz😁