Aisee.. Leo Nimeona Maajabu ktk CV ya Mtu!

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
4,732
Reaction score
4,901
Leo Nlkw Maskani Na Washkaji Zangu Kuna Jamaa M1 Anatafuta kazi basi mkamwambia aniachie CV yake.. Jst In case of anythn Niiwasilishe. Akanipa. Kuicheki Duh nilistaajabu. Jamaa kasoma vyuo viwili tofauti kwa muda m1. Kasoma Kenyatta University n Egerton University course tofauti. Moja ya science n nyingine ya Human Resourse. Swali nililonalo kichwani Egerton iko Nakuru wakati Kenyatta iko Nairobi. Alikuwa anaattend vp classes?? Pepas je?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Unafikiri wote wanasafiri kwa punda kaa wewe?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Unafikiri wote wanasafiri kwa punda kaa wewe?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Mkulu sijakusoma. Najua distance iliyopo kwa hizo sehemu mbili ndo maana nmestaajabu. Nairobi na Nakuru ni kama Dar na Korogwe kaka

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wa-TZ bwana!

Huo sasa unafiki. Hivi kipi cha ajabu hapo? Unafikri kwa wenzetu kila kitu lazima uwe kwenye campus? Acha hizo mkuu unajiaibisha! Ungemwuliza kabisa kwamba aliwezaje kusoma kozi mbili toofauti kwenye vyuo viwili tofauti!!!

Wenzetu wanapiga kazi sisi tumekalia politik! Shauri yenu! Vyuo vyetu havina ubunifu kwa wenzetu wanapiga kitabu kwa distance learning vya kwetu vipo vipo tu! Kule kuna kitu kinaitwa school based programmes. Hizi zinaendeshwa wakati vyuo vimefungwa wao wanaanza kupiga kitabu!
 
Kimoja atakuwa alijiandikisha kama private candidate PS na kingine kama school candidates jamani tanzania zaid tuijuavyo
 
Zubaa uchekwe. Mimi nasoma UNISA na Bado ALISON, hapo hapo part time nyingine kibao achilia mbali kazi na kusafiri......!! bado napata muda wa ku-refresh humu JF, na katika mitandao mingine kibao.

We si ulisoma full time bongo, kwa wenzetu inawezekana wala usishangae...
Mkulu sijakusoma. Najua distance iliyopo kwa hizo sehemu mbili ndo maana nmestaajabu. Nairobi na Nakuru ni kama Dar na Korogwe kaka

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jamaa kakariri....
Zubaa uchekwe. Mimi nasoma UNISA na Bado ALISON, hapo hapo part time nyingine kibao achilia mbali kazi na kusafiri......!! bado napata muda wa ku-refresh humu JF, na katika mitandao mingine kibao.

Kwa upeo wako, ni hapa Tanzania ndo inaonekana hayo mambo hayawezekani.
 
Kusoma siku hizi si lazima uwepo darasani.
 
Jamaa kakariri....
Kweli Ciello, anahitaji kuelimishwa. Si kila mahali degree ni miaka 4, Executive Bachelors ni 1 yr, Executive MBA ni 1yr tena katika vyuo vinavyotambuliwa na serikali.
 
Anyway ngoja nifanye mambo mengine Ciello, huyu jamaa anahitaji somo-darasa. Ila tusimlaumu labda mambo hayo bado hayajui.

Si ndo hapo sasa, jamaa si kosa lake anadhan kila siku jpil, watu wanasoma online...
 
msameheni jamani, ukilaza wa kumezeshwa ni hatari kwa afya ya mtanzania
 
Mlivyomshambulia, hata jf anaweza kuichukia.....kumbe.....
 
Mlivyomshambulia, hata jf anaweza kuichukia.....kumbe.....

Ameyataka,angemuuliza huyo mwenye cv angepewa jibu na wala asingeileta huku. Ila ukupigao ndio ukufunzao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…