Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Papers mbona mtu unatumiwa on line? kweli ni kujipanga Ciello
Hahaha! Issue si kusoma online.. Jamaa kasoma full time kotekote. Issue ya online Mbona simple hata mm nasoma islamic univesity online na nko area daily. Nlichostaajabu ni hizo costs alizoingia jamaa.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Haishangazi kuona kuwa umekuiwa mtu wa kijiweniLeo Nlkw Maskani Na
Washkaji Zangu Kuna Jamaa M1 Anatafuta kazi basi mkamwambia aniachie CV
yake.. Jst In case of anythn Niiwasilishe. Akanipa. Kuicheki Duh
nilistaajabu. Jamaa kasoma vyuo viwili tofauti kwa muda m1. Kasoma
Kenyatta University n Egerton University course tofauti. Moja ya science
n nyingine ya Human Resourse. Swali nililonalo kichwani Egerton iko
Nakuru wakati Kenyatta iko Nairobi. Alikuwa anaattend vp classes?? Pepas
je?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Uwezowako mdogo, nadhani itakuwa level ya elimu yako ndo tatizo, Anaweza kusoma UDSM, Mzumbe na IFM kwa wakati mmoja, either way both online, au mbili online.
So sio big issue mkuu.
Ameyataka,angemuuliza huyo mwenye cv angepewa jibu na wala asingeileta huku. Ila ukupigao ndio ukufunzao.
ciello na thanda elimu ambayo haiwezi kuintergrate mambo nakufikiri outside the box ni hatari sana na hii imetawala sana hapa kwetu wengi wetu tumekariri tu mambo lile walilokuwa wanafanya waliopita wewe nawewe hili hilo huwezi kubuni outside,na hii inajidhihirisha ufikapo pale jkn airport kuna mabango ya simu tu ,hamna picha ya mount kilimanjaro wala picha za wanyama kuonyesha utalii uliopo tz,ila kenya unapokelewa na hizi picha ,nafikiri umeona tofautu.we shuld thing outside the box and intergrate our mind tha hivi vitu vinawezekana b4 u post it here
leo nlkw maskani na washkaji zangu kuna jamaa m1 anatafuta kazi basi mkamwambia aniachie cv yake.. Jst in case of anythn niiwasilishe. Akanipa. Kuicheki duh nilistaajabu. Jamaa kasoma vyuo viwili tofauti kwa muda m1. Kasoma kenyatta university n egerton university course tofauti. Moja ya science n nyingine ya human resourse. Swali nililonalo kichwani egerton iko nakuru wakati kenyatta iko nairobi. Alikuwa anaattend vp classes?? Pepas je?
Sent from my blackberry 9300 using jamiiforums