Aisee.. Leo Nimeona Maajabu ktk CV ya Mtu!

Siku hizi kuna joint programes kati ya vyuo..na unapata vyeti vya kote
 
mbona inawezekana we ndiio unaonekana wa kuja?kwani mzumbe haina tawi hapo dar?au tumaini university na hapohapo kuna udsm!vp bwana kijiwe kimeladha ubongo nn?
 
Zubaa uchekwe. Mimi nasoma UNISA na Bado ALISON, hapo hapo part time nyingine kibao achilia mbali kazi na kusafiri......!! bado napata muda wa ku-refresh humu JF, na katika mitandao mingine kibao.

yote hii ya nini? ili uje kupata kazi nzuri ama? good grades? no security of employment...enh?
 
yote hii ya nini? ili uje kupata kazi nzuri ama? good grades? no security of employment...enh?
Kusoma ni sehemu ya maisha yangu ndugu, nina ajira nzuri sana wala haina mizengwe, pia mimi ni mjasiriamali mwenye ofisi zaid ya tisa, Tano zina bima nne hazina na nyingine mbili ndo nimezianzisha. kusoma ni "kujiongeza"tu.
 
ni wale wale tu employee...earned income?huh sitting in a confined office, waking up early in the mornin to work..thats a perfect life..bro..i guess
 
ni wale wale tu employee...earned income?huh sitting in a confined office, waking up early in the mornin to work..thats a perfect life..bro..i guess

Ndugu yangu "ajira nzuri" si lazima uajiriwe na mtu, kujiajiri mwenyewe tu ni ajira....labda turudi darasani ili kujifunza nini maana ya Ajira.!!
 
kila kitu kinawezakana chini ya jua,suala je taratibu na vigezo vinazingatiwa ipasavyo.
 
Hahaha! Issue si kusoma online.. Jamaa kasoma full time kotekote. Issue ya online Mbona simple hata mm nasoma islamic univesity online na nko area daily. Nlichostaajabu ni hizo costs alizoingia jamaa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
kama elimu ni gharama jaribu ujinga na umbumbumbu!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…