ndio uzinduke hivyo shosti, mumeo mie simuelewielewi atii!
hahahaaaa..............wewe.........hebu nipigeni kibao kwanza nizinduke............. The secretary, Lady doctor
Babe twende chumbani tukaongee.. Hapa wanga kibao..
mbona kama haya maneno yanatoka kwako Soso?
Mhh Lady doctor mbona wataka kunigombanisha..? The secretary ndo amekuja na hayo madai.. Mie wala cjui lolote..
Babe Paloma usipate presha.. Hakunaga kama ww..
Mhh hapana.. Mie nimeambiwa na The secretary ndo nikashangaa.. Habari kama hizo hashirikishwi third party..
basi The secretary ni mchonganishi mi mwenyewe kaniambia kuwa umemtuma aje aniambie kuwa unanitaka na ukinipata unamuacha Paloma mazima..... Nimeshangaa sana jamani mpaka nikajiuliza hivi Soso umepandwa na kichaa au????????
Duuh.. Yaani The secretary ndo analeta urere hivyo..? Naona katumwa na Bishanga.. Washindwe na kulegea..
Haya shem maana akiona Arushaone hapa patachimbika lol.. Ila shemeji kijungu hicho..
basi The secretary ni mchonganishi mi mwenyewe kaniambia kuwa umemtuma aje aniambie kuwa unanitaka na ukinipata unamuacha Paloma mazima..... Nimeshangaa sana jamani mpaka nikajiuliza hivi Soso umepandwa na kichaa au????????
Haya shem maana akiona Arushaone hapa patachimbika lol.. Ila shemeji kijungu hicho..
Tuheshimiane sosoliso kama ilivyo kawaida yetu......Usimtamani shemejio Lady doctor.
Ndugu yangu Arushaone sijamtamani shemeji yangu Lady doctor.. Ninampa sifa tu ya uzuri alionao lol.. Mie na wewe hatudhuriani sema The secretary anataka kutugombanisha..