Sio kila habari anayosema Mange ni ukweli.Mange alisema Ivan anatembea na Wema na kamfungulia biashara ya lipstic...alisema Ivan hajafa!Alisema lyn ana mimba ya diamond!Alisema nillan sio wa diamond...alisema Zari na Diamond wamepigana chupa.Unataka kutuambia kua Angela Kairuki nae ka Share news na mange? Maana si kwa mapazia Yale anayovaa
acha picha liendeleee!!...Maskini Dylan sijui Prince Dee .....maana mtoto ana majina mengi kama hela[emoji86] [emoji86] [emoji86]
Mbona mambo ya kawaida sana, akisimuliwa atafanyaje kwani?Kwa kweli huyu mama anahitaji washauri maana navoona hana mshauri mzuri, ni mama mtu mzima but mambo anayofanya na kupost kwny acc yake ya IG haya aksi kabisa umri wake. Amekuwa mtu wa vijembe na dharau kwa upande wa pili (hamisa) na kashajidhihirisha kabisa kachagua upande, hofu yangu ni kuwa je anauhakika na anachokifanya asa iv maana tyar ashaanza kujenga chuki kwa mtt wa hamisa na mama je siku moja mtt akikua na kusimuliwa itakuwaje, kitu kingne hakuna aijuaye kesho huyu anayemuona siyo kitu kisa mama ake maskini huwez jua kesho yake mambo yanabadilika, akashitukia dylan ndo anakuja kuwa ndo mkomboz wake kina tiffa anaowashobokea wakawa hawana time naye. Ushauri maisha siyo pesa tu kuna maisha nje ya pesa na mali unayemdhalau leo huwezi jua kesho yake aacha kuchagua upande na ikiwezekana apunguze vijembe maana anataka kuwa kama yeye ndo zari (mke mwenza) mama ana gubu utafikiri mtt mdogo. Mama ushakuwa mtu mzima kaa lea wajukuu zako achana na maswala ya mitandaoni kwa ushaanza kuboa sasa.
Diamond najua mnapitaga kwenye haya majukwaa mwambie mama ako mitandao inampeleka siko maana mpk anapost viben ten vyake IG anakuaibisha, mbona ma mama wa ma star wenzio hawana izi mambo. Na apunguze gubu kwa hamisa imekuwa vijembe kila siku mpk anakera sasa, ashakuwa mtu mzima ni mda wa kukaa chini na kulea wajuu maswala ya insta amwachie Esma.
Mbona hamueleweki, mwanzo mlisena mama d na familia ya d inamtaka mobeto, now mnaweweseka kuwa mama anampiga vijembe amechagua upande.Domo mwenyewe kasha clear kuwa bado hajaoa sasa ww na domo tumuamin nani.....
Tunalijua hilo lakini jibu swali langu usiende nje yanilichokuulizaSio kila habari anayosema Mange ni ukweli.Mange alisema Ivan anatembea na Wema na kamfungulia biashara ya lipstic...alisema Ivan hajafa!Alisema lyn ana mimba ya diamond!Alisema nillan sio wa diamond...alisema Zari na Diamond wamepigana chupa.
Mengine changamsha genge
Kwani kuna ajabu yeye kuwa na mimba?Unataka kutuambia kua Angela Kairuki nae ka Share news na mange? Maana si kwa mapazia Yale anayovaa
KwlKwani kuna ajabu yeye kuwa na mimba?
Kwanza si ana mume yule, na unaweza ku prove kuwa kama ana mimba siyo ya mumewe.
Inawezekana mange aliyoyasema ni kweli ama ni uongo pia maana kuna mengi anasema mwisho yanakuwa siyo kweli hivyo siyo kila anachosema ni cha kubebaba kama kilivyo hasa vile visivyo na ushahidi bali wa kuunga unga.
Mengine anayotuwekea ushahidi kabisa wa picha sms mpaka voice note wakati mwingine had documents namuunga mkono 100%.
Kulijaa mnoo akakosa cha kuongea ikabidi aandike kuhusu pochi, eti ye habebi pochi fakeAlipokosea Hamisa ni kushare news na Mange Kimambi...hapo Tu.Hata kama unafight kwa ajili ya mwanao mange anamchukia Diamond mnoo si wa kumpa habari ili atoe.Tena utoto kabsa Mange anampa celeb chronicles na anaongea isionekane Hamisa katoa yeye.
Jana kajifanya hacked lakini Mcity kulijaa kinoma noma