Aisee mama diamond apunguze vijembe kwa hamisa hakuna aijuaye kesho.

Aisee mama diamond apunguze vijembe kwa hamisa hakuna aijuaye kesho.

Unakua ukijua wewe ni goli lililokatalika mpaka ushahidi ulipowekwa wazi, bibi yako hampendi mama yako na dada/kaka zako hawapatani na mama yako!...Very bad
 
Not only enjoying her success but also am learning a lot of tricks.

Bidada yupo vizuri,mama watano ila bado mbichiiii,drama nyingi anajihusisha yeye kama yeye bila kuweka watoto wake wala family members wake. Pamoja na kwamba haters wanajaribu kuwahusisha watoto yeye anawalambisha ndimu bila kuchanganya watoto wao

Focus, maturity and determination makes a winner.

Taking critics as challenges, dealing with them to your advantage.

Anahitaji pongezi sana, wewe pia nikupongeze kwa kuona kwamba Luna umuhimu wa kujifunza vitu kutoka kwa tunaowashabikia.
 
Hii familia inajitahidi kutengeneza scene wabaki kwenye mainstream.
 
Hili la kuita shilawadu siliamini, ivi mtu bado una uchungu unaweza kumuita soudy brown kweli?
Walijuaje kwamba walikuwa wanaenda hospitali muda ule? Yaani unataka kutuambia walikuwa wanakesha pale kuwasubiria?! Na kama alikuwa anatunza hadi video za tangu wakati huo ili mradi tu baadae alizi-release; nini kingemshinda kuwa-set hao Shilawadu?! Huo uchungu ni uchungu wa aina gani wa kumfanya mtu ashindwe kuongea? Au unataka kusema hata akina Bi Sandra walipoenda pale hakuweza kuongea?
Hamisa alichowakosea ni kuonyesha Their true colour....
kuonyesha kwamba alitambulika wala haikuwa siri,kwahiyo hao wcb niwanafiki wote!! wanaona aibu ndio maana wanajipendekeza sana
Mbona hueleweki? Mara kawaonesha their true color mara kuonesha alitambulika haikuwa siri; mara tena hao WCB ni wanafiki!! Ulikusudia kusema nini hasa? Btw, hivi ni nani alieonesha true color kati ya watu ambao hawakuwa kuongea lolote na yule ambae alianza ku-release video Instagram huku akitaka apewe 5 Million?!
mm ningemshauri misa aendelee na shuguli zake za maisha... wenye shida na abdul watamtafuta wenyewe, sidhani kama anashindwa kumlisha mtoto...
watakapojiskia watamtafuta mtoto wao.
Sina habari kwamba upande wa Diamond wamemususa mtoto bali ninachofahamu aliyesuswa ni mama anayetaka kumgeuza mtoto mtaji!!!
 
Mama Huyu kigeu geu ana chuki mbaya mnoo wema kashamnafikia
Bado sijajibiwa swali langu la msingi ni kwanini hivi sasa wamemgeuka?! Manake nakumbuka hadi Esma alikuwa upande wa Hamisa, kwanini hawapo upande wake hivi sasa?!

But all in all, narudi kule kule! Hakuna mzazi anayeweza kumui-entertain mwanamke ambae moja kwa moja ameonesha sura ya kuwa gold digger!!! Endapo Hamisa angeamua kula kimya kimya na Diamond, wala yasingetokea haya!!! Lakini kila siku unazikunja 70K lakini bado unaona hazitoshi unataka 5M kwa mwezi!!!

Huyo meneja wa tawi la bank tu hapati take home kama hiyo kwa mwezi labda kwa larger branches of multinational banks lakini anakuja mwingine anataka 5M just for kid!!!! Sie wanaume tunafahamu; akina mama wapo very protective kwa watoto wao wa kiume!!!
 
Walijuaje kwamba walikuwa wanaenda hospitali muda ule? Yaani unataka kutuambia walikuwa wanakesha pale kuwasubiria?! Na kama alikuwa anatunza hadi video za tangu wakati huo ili mradi tu baadae alizi-release; nini kingemshinda kuwa-set hao Shilawadu?! Huo uchungu ni uchungu wa aina gani wa kumfanya mtu ashindwe kuongea? Au unataka kusema hata akina Bi Sandra walipoenda pale hakuweza kuongea?
Mbona hueleweki? Mara kawaonesha their true color mara kuonesha alitambulika haikuwa siri; mara tena hao WCB ni wanafiki!! Ulikusudia kusema nini hasa? Btw, hivi ni nani alieonesha true color kati ya watu ambao hawakuwa kuongea lolote na yule ambae alianza ku-release video Instagram huku akitaka apewe 5 Million?!
Sina habari kwamba upande wa Diamond wamemususa mtoto bali ninachofahamu aliyesuswa ni mama anayetaka kumgeuza mtoto mtaji!!!
Mbona Jazba Ndugu mTanzania.
Au wewe ni bi sandra?
maana dah, haya mkuu umeshinda[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] kapatemo juice ya Tikiti
 
Bado sijajibiwa swali langu la msingi ni kwanini hivi sasa wamemgeuka?! Manake nakumbuka hadi Esma alikuwa upande wa Hamisa, kwanini hawapo upande wake hivi sasa?!
Picha zake na petit zimechangia kwa kiasi kikubwa kugeukwa kwa mtazamo wangu
 
Mbona Jazba Ndugu mTanzania.
Au wewe ni bi sandra?
maana dah, haya mkuu umeshinda[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] kapatemo juice ya Tikiti
Jiheshimu manake nikiamua kuwa jeuri kama wewe unaweza kuniona mbaya!
 
Aisee anatumia jina gani huko IG? Nikampe ushauri wako
 
Haya ndiyo matatizo ya Zari na shins wa kuwa lady kwenda kuweka vitu kwenye social media
Zari 35+
Diamond 28
Hamisa 24
Nani mtoto hapa?
28+24= Utoto wakikua wataacha. The 2 are living their age! Time will come watatulia. Na movie itaishia hapo
35+ Atulie alee watoto awape hekima wakati ni sasa kwani jua limeanza kuzama
 
Zile pic ndo zimefanya kautengano haka
Walianza kum-mind kitambo hususani pale Bi Sandra alipoenda hospital kumtazama Hamisa kumbe Shilawadu walikuwa wamejificha kumsubiria Bi Sandrah!! Sasa picha iliyotokea pale ni kwamba Hamisa aliwapigia simu Shilawadu katika kampeni yake ya kuuambia umma kwamba mtoto ni wa Diamond!!! Na hayo, yalitokea kabla zile picha hazijavuja na kwahiyo zile picha zilikuja kuongeza chumvi tu kwenye kidonda!!!
 
Back
Top Bottom