princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
ivi nikweli?Yule bibi mambo anayofanya ni tofauti kabisa na umri wake.
Mi kwa akili yangu fupi nahisi kuna namna sio bure tunajikuta tunacheza mziki wa madaleYani utasema hamisa kadate na baba na mwana.... khaaa sio kwa mijembe ile.. kama mke mwenzie
au alidate na mzee abdul[emoji23][emoji23]
maana mama halali,hanyi kutwa madongo kama ndo kwa tabia hio ni yeye, basi ndio maana mzee abdul alimwacha
Hiyo kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ndo nachokiona, ila pic za hamisa na petit zilimkera mama almasiMi kwa akili yangu fupi nahisi kuna namna sio bure tunajikuta tunacheza mziki wa madale
Bi Sandra,diamond na hamisa they know exactly what's going on with this drama
Huyu mama wala hampendi zari anampaka mafuta tuu kwa mgongo wa chupa
Twendeni tu tutajua tu
Yaani wale watu wajanja sanaHiyo kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ndo nachokiona, ila pic za hamisa na petit zilimkera mama almasi
Familia ya wapenda kikiYaani wale watu wajanja sana
Kiki kwao ndo kila kituFamilia ya wapenda kiki
Keeping up with madale'sFamilia ya wapenda kiki
We naona hujamuelewa jamaa hata kama wana ugomvi tayari Ana mjukuu kwa hamisa halafu anavyoandika mtandaoni ili iweje? Ok watu wakishaona anafaidika nini? Yeye ni mama mitandao inamsaidia nini hasa kwa kuandika pumba au vijembe?Ndo maana nimehoji; hapa katikati kimetokea nini hadi hivi sasa wamtupe mkono?! Hapo kabla walikuwa wame-pick side hivi hivi! Haikuwa siri kwamba walikuwa upande wa Hamisa na sio Zari. Kuna siku Mama Dangote alikula mvua ya matusi Instagram kwa ajili ya Zari!!!! Sasa kwanini leo wamemgeuka?!
Kuna nini nyuma ya pazia?! Tena akina bibi wanavyopenda mkwe mwanamke ambae ndo kwanza amejifungua; tena mtoto wa kiume!!!
Hapa tunapaswa kujiuliza! Yale yote ambayo Hamisa alikuwa anayaanika Instagram; mengine mangapi alikuwa anayafanya chinichini kwa staili yao wanawake?! Mkwe anaenda kumtembelea hospitali; yeye anaita Shilawadu; kama sio upumbavu ni nini?!
The problem; washamuona yule demu ni very stupid!!! Na tatizo ndilo nililosema hapo kabla! Mswahili ukimzingua; na yeye anakuzingua tu na wala hana muda wa ku-pretend!!! Na ndio maana hata wakati ule nilishasema hapa kwamba endapo Hamisa angekuwa na akili, angekula sana mafao kutoka Dangote Family na hata ndoa anayoitaka angeipata tu!
Kufumbua na kufumbua, anaonesha picha ya kujali maslahi!!! Trust me, asilimia kubwa ya wakwe (mother-in laws) wanachukia sana wanawake wanaowaona wazi wapo kwa ajili ya kuchuma zaidi kwa kijana wao!! They're very protective; sijui ni kwa ajili ya umaskini wetu au vipi!!!
Wamama wa tandale utawawezaHamisa kazaa na diamond, na huyu mama alionyesha kumsapoti hamisa, hapa juzi kati zilivuja picha za hamisa na petit enzi za mahusiano yao, petit ni mume wa mwanae wa kike, aisee kyuma ya hamisa sio ya nchi hii ina utamu wa aina yake hata km hajatumia akili kula hela za diamond lakini muda utaongea, akumbuke mapito yake huyu mama coz kilichotokea kwake ndo kinatokea na kwa hamisa
Ndo walivyo ndg wa mume lakiniWamama wa tandale utawaweza
Ndo shida ilipo hapo kila kitu kukiweka kwenye mediaKiki kwao ndo kila kitu
Wanauza jinaNdo shida ilipo hapo kila kitu kukiweka kwenye media
Kuna sehemu za kuweka mkato,sehemu zingine nukta, viulizo. Umeunga sana mzee kiasi kwamba mtu anaweza kutumia muda kidogo kujua kwamba sentensi Fulani imeishia mahali fulani na nyingine inaanzia mahali fulaniKama zipi izo.?
Ndo shida ilipo hapo kila kitu kukiweka kwenye media
Zari yupo juu kila mtu anajipendekeza kwake.
Tangu zari atue bongo media zote ni zari zari,haters na mashosti wanamtaja zari mara mia.
Ikikuuma chomoaaa
One of her true fans.
Hope you are enjoying, she is up as always.