Nzuri baba ukwajuHabari yako mama ubuyu.
Not only enjoying her success but also am learning a lot of tricks.
Bidada yupo vizuri,mama watano ila bado mbichiiii,drama nyingi anajihusisha yeye kama yeye bila kuweka watoto wake wala family members wake. Pamoja na kwamba haters wanajaribu kuwahusisha watoto yeye anawalambisha ndimu bila kuchanganya watoto wao
Nzuri baba ukwaju
Happy too, ulete ulete huo ukwaju na faida yake mi ni mwaminifu sanaYaani leo niko full full, naweka oda ya ubuyu wako wote leo. Faida yote ya ukwaju naimalizia kwenye ubuyu wako leo.
Happy to see you.
Happy too, ulete ulete huo ukwaju na faida yake mi ni mwaminifu sana
Walijuaje kwamba walikuwa wanaenda hospitali muda ule? Yaani unataka kutuambia walikuwa wanakesha pale kuwasubiria?! Na kama alikuwa anatunza hadi video za tangu wakati huo ili mradi tu baadae alizi-release; nini kingemshinda kuwa-set hao Shilawadu?! Huo uchungu ni uchungu wa aina gani wa kumfanya mtu ashindwe kuongea? Au unataka kusema hata akina Bi Sandra walipoenda pale hakuweza kuongea?Hili la kuita shilawadu siliamini, ivi mtu bado una uchungu unaweza kumuita soudy brown kweli?
Mbona hueleweki? Mara kawaonesha their true color mara kuonesha alitambulika haikuwa siri; mara tena hao WCB ni wanafiki!! Ulikusudia kusema nini hasa? Btw, hivi ni nani alieonesha true color kati ya watu ambao hawakuwa kuongea lolote na yule ambae alianza ku-release video Instagram huku akitaka apewe 5 Million?!Hamisa alichowakosea ni kuonyesha Their true colour....
kuonyesha kwamba alitambulika wala haikuwa siri,kwahiyo hao wcb niwanafiki wote!! wanaona aibu ndio maana wanajipendekeza sana
Sina habari kwamba upande wa Diamond wamemususa mtoto bali ninachofahamu aliyesuswa ni mama anayetaka kumgeuza mtoto mtaji!!!mm ningemshauri misa aendelee na shuguli zake za maisha... wenye shida na abdul watamtafuta wenyewe, sidhani kama anashindwa kumlisha mtoto...
watakapojiskia watamtafuta mtoto wao.
Kila kituHahaha, mwaminifu kwa ukwaju tu au kwa kila kitu?
Bado sijajibiwa swali langu la msingi ni kwanini hivi sasa wamemgeuka?! Manake nakumbuka hadi Esma alikuwa upande wa Hamisa, kwanini hawapo upande wake hivi sasa?!Mama Huyu kigeu geu ana chuki mbaya mnoo wema kashamnafikia
Mbona Jazba Ndugu mTanzania.Walijuaje kwamba walikuwa wanaenda hospitali muda ule? Yaani unataka kutuambia walikuwa wanakesha pale kuwasubiria?! Na kama alikuwa anatunza hadi video za tangu wakati huo ili mradi tu baadae alizi-release; nini kingemshinda kuwa-set hao Shilawadu?! Huo uchungu ni uchungu wa aina gani wa kumfanya mtu ashindwe kuongea? Au unataka kusema hata akina Bi Sandra walipoenda pale hakuweza kuongea?
Mbona hueleweki? Mara kawaonesha their true color mara kuonesha alitambulika haikuwa siri; mara tena hao WCB ni wanafiki!! Ulikusudia kusema nini hasa? Btw, hivi ni nani alieonesha true color kati ya watu ambao hawakuwa kuongea lolote na yule ambae alianza ku-release video Instagram huku akitaka apewe 5 Million?!
Sina habari kwamba upande wa Diamond wamemususa mtoto bali ninachofahamu aliyesuswa ni mama anayetaka kumgeuza mtoto mtaji!!!
Picha zake na petit zimechangia kwa kiasi kikubwa kugeukwa kwa mtazamo wanguBado sijajibiwa swali langu la msingi ni kwanini hivi sasa wamemgeuka?! Manake nakumbuka hadi Esma alikuwa upande wa Hamisa, kwanini hawapo upande wake hivi sasa?!
Jiheshimu manake nikiamua kuwa jeuri kama wewe unaweza kuniona mbaya!Mbona Jazba Ndugu mTanzania.
Au wewe ni bi sandra?
maana dah, haya mkuu umeshinda[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] kapatemo juice ya Tikiti
Zinaweza ikawa zimechangia lakini kwa ujumla wake, walishaanza kumtupa mkono kabla ya zile picha kuachiwa Instagram.Picha zake na petit zimechangia kwa kiasi kikubwa kugeukwa kwa mtazamo wangu
Zile pic ndo zimefanya kautengano hakaZinaweza ikawa zimechangia lakini kwa ujumla wake, walishaanza kumtupa mkono kabla ya zile picha kuachiwa Instagram.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu ujeuri uko wapi?Jiheshimu manake nikiamua kuwa jeuri kama wewe unaweza kuniona mbaya!
Kila kitu
Zari 35+Haya ndiyo matatizo ya Zari na shins wa kuwa lady kwenda kuweka vitu kwenye social media
Walianza kum-mind kitambo hususani pale Bi Sandra alipoenda hospital kumtazama Hamisa kumbe Shilawadu walikuwa wamejificha kumsubiria Bi Sandrah!! Sasa picha iliyotokea pale ni kwamba Hamisa aliwapigia simu Shilawadu katika kampeni yake ya kuuambia umma kwamba mtoto ni wa Diamond!!! Na hayo, yalitokea kabla zile picha hazijavuja na kwahiyo zile picha zilikuja kuongeza chumvi tu kwenye kidonda!!!Zile pic ndo zimefanya kautengano haka