Aisee manukato kutoka Zanzibar yapewe maua yakeπŸ˜…

Hahaha Pole wewe sio type yangu ila nakupenda kama rafiki tuπŸ˜…
 
Chupa limeamka na chai sasa 😹😹

Mifugo haijapewa dawa mwilini leo, min me kazi unayo na da Mau 😹😹
Hahhaha tipwa tipwa tetema ooo tetemaπŸ˜…
 
Yani uagize perfume za kupima kutoka kizimkazi kwenda Europe? 😹😹

Min saa nyingine unapenda kutuchokoza makusudi tukukate visungura vyako..!!
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hahaha Pole wewe sio type yangu ila nakupenda kama rafiki tuπŸ˜…
Sasa nani kasema nakupenda kama mpenzi walahi mimi nakupenda kama rafiki yangu pia walahi sikudanganyi .
Kwanza usinizoee kwani tumbo langu umeliona wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…