Hawa jamaa walifanya move nzuri kwa kumfanya Wolfang Egger kuwa automative designer wa BYD. Jamaa alikuwa anafanya kazi na Audi, Alfa Romeo, Lamborghini. BYD gari zao zina features ambazo zinastahili kuitwa smart cars. China iko kwenye elvel yake kwa sasa. hizi features angekuwa nazo Tesla ingekuwa ni balaa.
View: https://www.youtube.com/watch?v=_aUPAD-6Cbs
View: https://www.youtube.com/watch?v=_aUPAD-6Cbs