Mbona unaongea kwa uchungu hivi nduguSisi kama walaji tunachotaka ni bidhaa nzuri, haijalishi bidhaa hiyo imetoka nchi gani.
Hamna namna sasa 🤨Mbona unaongea kwa uchungu hivi ndugu
Kwa China wanaangalia mfuko wako tu hivyo usipate huzuni...Hamna namna sasa 🤨
Kama ikiwa kwa bei hizo za $26,000 kwa baadhi ya gari, mbona safi sanaKwa China wanaangalia mfuko wako tu hivyo usipate huzuni...
Sisi dunia ya tatu tumekaa kubishania dini gani ni ya kweli wakati wenzetu walee wanachanja mbuga kwenye nyanja za sayansi na teknolojia 🤨Kwa China wanaangalia mfuko wako tu hivyo usipate huzuni...