ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Polisi nikafanye nini w pimbi nini....yangu hapa ni maoni tu....Nenda polisi ndugu,povu la nn,kama ni ndugu yako kamtetee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polisi nikafanye nini w pimbi nini....yangu hapa ni maoni tu....Nenda polisi ndugu,povu la nn,kama ni ndugu yako kamtetee
Duh bar ya stereo siku ile inaungua Kabla nlikuwepo pale.....ila bora ile bar iliungua maana lile kundi la wanywaji makonki piere anasubiri si uliwaona ni 24/7 bwaxxxxmi naamini unga ameacha kuna siku nilimuona Nairobi tukakaanaye watz mahali alikunywa bia tu ,na pombe kali ,ila kweli ni mtu wa kujidai sana ,na hakuwa broke alikuwa na hela pia ,tulizungusha round naye alizungusha ,ila yeye kawaida ni mlevi sana maisha yote jamaa sijawahi ona analala mapema ,utauliza nimejuaje? nliwahi kuishi opposite na kwao mbele kidogo karibu na stereo baa kwenye kona pale kuna kagrocery ndo wanapaita kwa wanyama wakali ,yaani kila nikipita jamaa kalewa kila siku usiku wanapiga makelele mziki mkubwa kwenye gari yake ,nachojua pale panauzwa unga na bangi ,huyu jamaa alikuwa anakopwa pombe za hadi 1,000,000 akienda show analipa ,anaanza upya ,yaani ni kijana wa kinondoni hasa
Unga uko mpk mkurangaKinondoni pasafishwe haraka sana
Ile siku inaungua nlikuwa Atlanta bar ni kwamba kulikuwa na engagement ya mashoga ,wazee wa system naskia kuondoa aibu wakaipiga fireDuh bar ya stereo siku ile inaungua Kabla nlikuwepo pale.....ila bora ile bar iliungua maana lile kundi la wanywaji makonki piere anasubiri si uliwaona ni 24/7 bwaxxxx
Stereo nmekaa sana Nlikuwa jirani na tarimba
Sema TID tatzo lke ana vimaneno machafu
Na sahv hayuko kama zamani basi ni anajishtukia
Ova
Duh...atlanta umenikumbusha mbaliIle siku inaungua nlikuwa Atlanta bar ni kwamba kulikuwa na engagement ya mashoga ,wazee wa system naskia kuondoa aibu wakaipiga fire
Dar tumeenjoy bwana enzi za jk Leo hizo sehemu kimyaaaaDuh...atlanta umenikumbusha mbali
Kuna ile bar ilikuwa nyuma ya atlanta
Ila waliondolewa pale ilikuwa maarufu sna
Jina nimelisahau pembeni yke kulikuwepo na bar ya mama siriwa pia G7 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahhhhh nmekumbuka huntersss babake nmeunguza sana hela paleee
Ova
Zimekufa wale waluguru wanao miliki eneo kuanzia TX market waliuza sjui waliingia ubia eneo la hunters inasemekanaDar tumeenjoy bwana enzi za jk Leo hizo sehemu kimyaaaa
Polisi nikafanye nini w pimbi nini....yangu hapa ni maoni tu....
Keep your struggle elsewhere...Hahaaaa,sawa pimbi mkubwa
Keep your struggle elsewhere...
Kumbe nawe umeliona hili Baba la Baba eeeh [emoji848][emoji28]Aise --kwamba yeye ndiye huyo huyo. .mahandaw
Kumbe nawe umeliona hili Baba la Baba eeeh [emoji848][emoji28]