Mr mutuu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2023
- 2,869
- 14,501
Kuna clip nimekutana nayo insta nikasahau kuipakua, ishu imetokea magomeni, jamaa amepanga frame ya biashara anapiga zake biashara mdogo mdogo kashakaa miezi mitatu
Siku jamaa kaingia dukani kwake usiku sijui walikua wangapi wapo na ma driller sijui jamaa katoboa ukuta katokea frame ya anayepakana nae kasafisha Kila kitu, kamaliza hapo katoboa tena kwingine Yani mpaka mwisho kawasafisha wote karudi kwenye frame yake kasepa, frame zilikua zimepangana maduka ya simu
Jamaa asubuhi wanalia tu na kutukana wanaulizana nani anamjua, wote wanasema walikua wanamuona tu dukani, imagine aisee una familia ndo biashara unayotegemea afu kenge mmoja siku anakumaliza Kila kitu
Nimewaza sana duka la simu ukiibiwa smart phone kama 100 aisee acha tu, ukute mtu uliweka na simu za Bei ghali.... Dah jamaa mmoja alikua analia kabisa
Wezi sio watu.... Na natoa hii kama tahadhari hakikisha mtu mliyepanga nae jirani unajua hata abc zake maana naona huu mfumo watu watapigwa sana