Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Wezi wanaturudisha sana nyuma kimaendeleo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] khaa we jamaa ni mtu na nusuNilishawahi kumkimbiza mwizi usiku kimya kimya mtu mbili tu nia yangu ilikua nimuue bila mashahidi alichonikera ni kupiga kelele za kuomba msaada hadi watu wakaamka nimemkamata tu watu wakajaa na mwenyekiti akiwepo
Ikabidi nimkabidhi kwa serekali ila nilimwambia mwizi umeniangusha sana kuna kitu nilitaka nikufanyie iwe siri yetu
Angeweza kukugeuka akakugeuzia kibao.Nilishawahi kumkimbiza mwizi usiku kimya kimya mtu mbili tu nia yangu ilikua nimuue bila mashahidi alichonikera ni kupiga kelele za kuomba msaada hadi watu wakaamka nimemkamata tu watu wakajaa na mwenyekiti akiwepo
Ikabidi nimkabidhi kwa serekali ila nilimwambia mwizi umeniangusha sana kuna kitu nilitaka nikufanyie iwe siri yetu
Alikua mtaani kwangu hana ujanja kila mtu ananifaham kwanzia nazaliwa na tabia yangu wanaifaham yeye ndo alikua kwenye mstari wa kifoAngeweza kukugeuka akakugeuzia kibao.
Oooh kumbe hivyo ,kinyume na hivyo ni hatari sna.Alikua mtaani kwangu hana ujanja kila mtu ananifaham kwanzia nazaliwa na tabia yangu wanaifaham yeye ndo alikua kwenye mstari wa kifo
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Nilishawahi kumkimbiza mwizi usiku kimya kimya mtu mbili tu nia yangu ilikua nimuue bila mashahidi alichonikera ni kupiga kelele za kuomba msaada hadi watu wakaamka nimemkamata tu watu wakajaa na mwenyekiti akiwepo
Ikabidi nimkabidhi kwa serekali ila nilimwambia mwizi umeniangusha sana kuna kitu nilitaka nikufanyie iwe siri yetu
Kitu cha m5 yeye anauza hata buku mbiliWaizi na wachawi ni watu wa hovyo kabisa....Mwizi unakuta teja anaenda kuuza bei ya hasara...Hao ni kukata mikono shenzi kabisa.!
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌Nilishawahi kumkimbiza mwizi usiku kimya kimya mtu mbili tu nia yangu ilikua nimuue bila mashahidi alichonikera ni kupiga kelele za kuomba msaada hadi watu wakaamka nimemkamata tu watu wakajaa na mwenyekiti akiwepo
Ikabidi nimkabidhi kwa serekali ila nilimwambia mwizi umeniangusha sana kuna kitu nilitaka nikufanyie iwe siri yetu
Iliwahi nitokea mnazi mmoja Dar,natembea zangu taratibu nikasikia kelele za mwizi,kugeuka nyuma mwizi anafukuzwa anakuja upande wangu,nikanyanyua mguu nikamkanyaga kifuani akaanguka,jamaa kufika pale alipigwa ngumu kama 10 za kutosha,nikaona sikio moja linatoka damu,nikaamua kuondoka haraka,sijui kama yule jamaa alipona pale,maana umati wa watu ulikuwa unaongezeka na wengine walishaanza kuvunja matofali ya kumpigia.Wizi sio mzuri kabisa,ila inachosikitisha kuna mijitu inaiba mabilion lakini hata haiguswi,utadhani hawa wana jina tofauti na hao wezi wa kuku...
Mimi nilikuwa nawaonea huruma nikikutwa wanapigwa ila baada ya kunipiga tukio huruma imenipotea.NAKAZIA
Kwa mfano unakuta mwizi kakuibia smartphone au flat screen unalazimika kutoa hela nyingine kununua kile alichokuibia wakati haikuwa kwenye bajeti yako ni kurudishana nyuma
Aisee mkiona watu wanaua wezi msishangae
Tapeli kakuzidi akili pia anakutukanisha kuwa wewe ni kiazi kilaza, mwizi amekuzidi nguvu. Hapo wote wametenda kosa moja na impact ni moja kuwa wanarudisha nyuma maendeleo dawa yao ni kifinyoHao ni matapeli, kuna tofauti ya wizi na utapeli, binafsi mwizi namuua hata akinirudishia mali yangu ila tapeli napiga nae story kabisa maana anakua kanizidi akili tuu, mtu anakupiga maneno unaenda mwenyewe bank unadrow pesa unampa kwa mikono yako, ni tofaut na anayekuja na bunduki au panga then anakunyanganya mali zako kwa nguvu na maumivu juu anakuachia.
Usimwonee huruma mwizi. Mwizi yoyote ni muuajiMbaya zaidi hawana huruma akikuwahi ni aidha akujeruhi au
Na wale wanaopigwa mawe mpaka kufa hii imekaaje?Uislamu una sheria zake, na sio kuuwa.
Hakika hawastahili hurumaUsimwonee huruma mwizi. Mwizi yoyote ni muuaji