Bando la wiki
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 911
- 3,017
Vijana wa 2000 hakika wanakosa burudani sana katika mpira katika zama hizi ambapo kuna mabadiliko makubwa yanatokea kwenye mpira.
Ebu twende nyuma kidogo viungo waliowahi kucheza mpira mkubwa hapa duniani lakini hawakuweza kuchukua hiyo tuzo ya Ballon d or.
Pale France kulikuwa na wachezaji wa moto kama Claude Makelele, Patrick Viera, Thierry Henry, Robert Pires, Anelka, Frank Ribery, Paul Pogba.
Pale Agentina kulikuwa na miamba hii na haikuchukua Ballon dor ila walikuwa wanakiwasha balaa: Juan Veron, Gabriel Batstuta, Javier Masherano, Requlime, Sergio Aguero, Tevez, Angel Di maria.
Pale Spain kulikuwa na akina: Andres Iniesta, Xavi Alonso, Xavi Hernandez, Sergi Bosquet, David Silva, Ses Fabrigas
Pale Italy wanyama waliokuwepo ni pamoja na Andrea Pirlo, Genaro Gattuso, Del Piero, Inzaghi Philipo.
Wanyama wa England: David Beckham, Frank Lampard, Stiven Gerard, Michael Carrick.
Pale Portugal alikuwepo: Ricardo Qwaresma, Luis Figo, Deco.
Kule uholanzi alikuwepo mwamba kama : Clerence Seerdorf, Ruben.
Kwa hiyo Rodri ashukuru Mungu sana kupata tuzo hiyo kwa sababu hata kimpira mwaka uliopita hakufika viwango vya Mbappe, Vini jr, Lamine Yamal, Benardo Silva.