Aisee Prophet Shepherd Bushiri, hii sifa sasa...

mke wa mchungaji anavaa suluari aisee inatisha.

Ni kipi kinatisha hapo jamani?? Kuwa mke wa mchungaji ndio avaeje?? Hiyo ni nguo ka nyingine tu mbona?? Nimefika Zimbabwe mbona wanavaa net ya mbu tu kanisani viwalo vyote nje na Roho anashuka tu, Mbona India wanaacha vitovu nje? Upako hauko nguoni
 
Angalia jamaa angalia mke, angalia magari, kuna dini hapo kweli? Unabii au utapeli wa imani za watu?!
 
In actual sense kanunua mwenyewe kwa pesa ya waumini wake maskini, hyo ya kusema mkewe kampa zawadi ni changa la macho tu ili msahau msingi wa hyo pesa. Kalaghabaho
 
Kuna watu wanatukanisha sana ukristo. Namuangalia huyo "mama mchungaji" nasikitika tu.

Lakini cha ajabu makanisa yao 'yanajaa'!
 
Kwanini asingelikataa au kuliuza na kuzawadia masikini hapo kanisani kwake, afterall anayo magari ya kifahari mengi tu?

Ofcourse he can't do that. Why should he do it? He is a human being afterall, ubinafsi ndo nature yetu. Hata Hummer la mzee wa Dude linawekwa mbele kabisa na anahubiri huku akiliangalia. "Mitume na Manabii" wa siku hizi ni matajiri kwelikweli.
 
Mimi mkristo ila ukristo wa ajabu hivi mavazi ya ajabu ajabu wanawalaghai watu na kudhalilisha Misingi ya imani.
 
wadada wa kibongo muwe mnatuzawadia waume zenu/mabwana zenu vitu kama hivo.sio "K" tu peke yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umenifanya nicheke kwa nguvu kuu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Basi shetani akamwambia tena Bwana Yesu, nisujudie nami nitakupa milki yote ya ulimwengu......

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
But where did i woman gets the money to buy a car for her husband?
 
Wajinga ndio waliwao.

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…