mustaphahamisi
Member
- Sep 4, 2016
- 36
- 21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok nilifikiri origin yake bongo..ndo yy ambaye anabifu na ngwajima?Jina lipi sasa, Nyoko au Bushiri. huyu jamaa ni mtu wa Malawi, si unajua kuwa tuna ukaribu wa undugu tumetengwa na mipaka ya wazungu tu.
Hawana bifu ni kutokuelewana tu.Ok nilifikiri origin yake bongo..ndo yy ambaye anabifu na ngwajima?
Post sent using JamiiForums mobile app
Lakini issue kubwa ni faranga tu,Hawana bifu ni kutokuelewana tu.
Gwajima kwa Bushiri ni cha mtoto kuhusu mkwanja. wala usiwafananishe kabisa, jamaa yeye hategemei sadaka ni vijisenti vya kwenda kufundisha semina ulaya kama gwajima.
wadada wa kibongo muwe mnatuzawadia waume zenu/mabwana zenu vitu kama hivo.sio "K" tu peke yake.
mke wa mchungaji anavaa suluari aisee inatisha.
Lini unaninunulia gari my dear?[emoji4][emoji4][emoji4]Nakuona nakuonaa....
Lini unaninunulia gari my dear?[emoji4][emoji4][emoji4]
Post sent using JamiiForums mobile app
Mchugaj mwenyew katinga jeans na skunamke wa mchungaji anavaa suluari aisee inatisha.
Life is always unfair to each and everyone and that makes it fair to each and everyoneKweli life is not fair and has never been fair at all
yaani anniversary tu zawadi ndinga Kali namna hiyo!!