Aisee Prophet Shepherd Bushiri, hii sifa sasa...

Aisee Prophet Shepherd Bushiri, hii sifa sasa...

masanja mkandamizaji na mke wake nao pia wanaelekea kwenye ubilionea...naona siku hizi amejikita sana kwenye "ujasiria-dini".

siku akija kuzawadiwa na mke wake dude kama hilo alilozawadiwa bushiri,tusije tukaulizana wamepata wapi pesa.

ujasiria-dini unalipa sana.
 
Wana utapeli sana hawa ifikie mahali serikali ziwe zinawatoza kodi hawa watu wana utajiri sana kwasababu ya sadaka
 
Back
Top Bottom