Haujuwi maana ya "hiding in a closet". Uliza maana yake kabla hujakurupuka na siasa uchwara.CCM wakishaingiaga mahala tu lazima wachafue hali ya hewa...
Yeah kabisa anaubunifu wa aina yakeHuyo sio mtu mzuri ktk muzic...jamaa ana ujumbe sn huyo....ukimfatilia mapenzi wala hayakusumbuwi....jamaa namuelewa sn huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah kile kipande kinaboa balaa halafu siku hizi wanaweka tamthilia nye zile habari zinakuwa zinakata stimu balaa me huwa napelekea mbele
SONY Xperia Z5 Premium
FaizaFoxy una mambo.Haujuwi maana ya "hiding in a closet". Uliza maana yake kabla hujakurupuka na siasa uchwara.
Humu tunae mmoja ambae "s/he is hiding in a closet" anajiita Nyani Ngabu.
Wimbo unaitwa 'trapped in the closet', jamaa kakosea hapo!= tamthilia
Mimi sijaona hizo video lakini jina uliloweka "hiding in a closet" linamaanisha shoga ambae bado anaficha ushoga wake hajaamua kuuacha wazi.
Siku zingine mkisifia vitu muelewe mnachosifia, kama lugha inakupiga chenga ni aheri uulize maana yake kwa wanaoijuwa hiyo lugha kabla ya kukurupuka mbele ya halaiki.
Wanamuita king of rnbJana nilipata muda nikiwa nimepumzika nikacheki chapter 22 za ile nyimbo yenye series za chapter inayoitwa HIDDING IN CLOSET. Aisee ule ubunifu sijawahi kuona, yaani ni uimbaji kwa njia ya majibizano( dialogue).
Sasa kinachofanya hiyo kazi kuwa tamu zaidi ni vibwagizo alivyoweka R.kelly katika hiyo simulizi. Kwa wale ambao hamjawahi kuiona ingia tu Youtube uicheki.....just type Trapped in the closet itakuja.......ni video fupi za dakika Mbili hadi tatu ila zipo nyingi na ni story ya muendelezo zipo 22.
SONY Xperia Z5 Premium
Ndiyo hayo hayo tu, badala ya kujificha ushoga, hiyo maana yake kunasa kwenye ushoga bila kuweza kuuweka wazi.Wimbo unaitwa 'trapped in the closet', jamaa kakosea hapo!
= tamthilia
Mimi sijaona hizo video lakini jina uliloweka "hiding in a closet" linamaanisha shoga ambae bado anaficha ushoga wake hajaamua kuuacha wazi.
Siku zingine mkisifia vitu muelewe mnachosifia, kama lugha inakupiga chenga ni aheri uulize maana yake kwa wanaoijuwa hiyo lugha kabla ya kukurupuka mbele ya halaiki.
Yeah,ni nyimbo ya ukweli sana...jamaa nyimbo zake nyingi ni nzuri sana aiseeMimi my all time favourite song kutoka kwa Rkelly toka nausikia mara ya kwanza nikiwa darasa la nne early 2000 ni turn back the hands of time.
Yani haujawahi shuka chart kwangu na kwa hilo namkubari sana jamaa
Haujuwi maana ya "hiding in a closet". Uliza maana yake kabla hujakurupuka na siasa uchwara.
Humu tunae mmoja ambae "s/he is hiding in a closet" anajiita Nyani Ngabu.
Mimi my all time favourite song kutoka kwa Rkelly toka nausikia mara ya kwanza nikiwa darasa la nne early 2000 ni turn back the hands of time.
Yani haujawahi shuka chart kwangu na kwa hilo namkubari sana jamaa
Hahaha kwanini mkuu kwani umrim wa kuacha kuitwa dogo unaisha ukifikisha miaka mingapikumbe humu tunapambana na madogo salama lakin mkuu?
Hahaha kwanini mkuu kwani umrim wa kuacha kuitwa dogo unaisha ukifikisha miaka mingapi
Duh ya kweli hayo laaazizi maana mimi hao watu ngozi huwa inasisimuka nikisikia wapo karibu.....Haujuwi maana ya "hiding in a closet". Uliza maana yake kabla hujakurupuka na siasa uchwara.
Humu tunae mmoja ambae "s/he is hiding in a closet" anajiita Nyani Ngabu.
We ulikuwa kidato nini mkuu, humu hukawii bishana na babuhahaha dogo haliishi mkuu hata ukikutana na mtu kakupita siku tu mwaka 2000 ulikuwa la nne daaa acha tu