Aisee R.KELLY ni Noma sana.

Aisee R.KELLY ni Noma sana.

Asante kwa kunirekebishe mpenzi........

Yeah halafu kile kipande nimekiona kimenikata stimu kichizi nikakipeleka mbele but sio sehemu kubwa ya zile chapter.

SONY Xperia Z5 Premium
 
Idea nzuri, tatizo mule ndani kuna ushoga.
Yeah kile kipande kinaboa balaa halafu siku hizi wanaweka tamthiria zenye zile habari zinakuwa zinakata stimu balaa me huwa napelekea mbele

SONY Xperia Z5 Premium
 
Yeah kile kipande kinaboa balaa halafu siku hizi wanaweka tamthilia nye zile habari zinakuwa zinakata stimu balaa me huwa napelekea mbele

SONY Xperia Z5 Premium

= tamthilia

Mimi sijaona hizo video lakini jina uliloweka "hiding in a closet" linamaanisha shoga ambae bado anaficha ushoga wake hajaamua kuuacha wazi.

Siku zingine mkisifia vitu muelewe mnachosifia, kama lugha inakupiga chenga ni aheri uulize maana yake kwa wanaoijuwa hiyo lugha kabla ya kukurupuka mbele ya halaiki.
 
Wimbo unaitwa 'trapped in the closet', jamaa kakosea hapo!
 
Jana nilipata muda nikiwa nimepumzika nikacheki chapter 22 za ile nyimbo yenye series za chapter inayoitwa HIDDING IN CLOSET. Aisee ule ubunifu sijawahi kuona, yaani ni uimbaji kwa njia ya majibizano( dialogue).

Sasa kinachofanya hiyo kazi kuwa tamu zaidi ni vibwagizo alivyoweka R.kelly katika hiyo simulizi. Kwa wale ambao hamjawahi kuiona ingia tu Youtube uicheki.....just type Trapped in the closet itakuja.......ni video fupi za dakika Mbili hadi tatu ila zipo nyingi na ni story ya muendelezo zipo 22.

SONY Xperia Z5 Premium
Wanamuita king of rnb
 
Hyo nyimbo naikubali sana...hata mjomba kells ni mkali sana,yani anajua
 
= tamthilia

Mimi sijaona hizo video lakini jina uliloweka "hiding in a closet" linamaanisha shoga ambae bado anaficha ushoga wake hajaamua kuuacha wazi.

Siku zingine mkisifia vitu muelewe mnachosifia, kama lugha inakupiga chenga ni aheri uulize maana yake kwa wanaoijuwa hiyo lugha kabla ya kukurupuka mbele ya halaiki.

Aisee hii nayo ni shule tosha..
 
Mimi my all time favourite song kutoka kwa Rkelly toka nausikia mara ya kwanza nikiwa darasa la nne early 2000 ni turn back the hands of time.
Yani haujawahi shuka chart kwangu na kwa hilo namkubari sana jamaa
Yeah,ni nyimbo ya ukweli sana...jamaa nyimbo zake nyingi ni nzuri sana aisee
 
Mimi my all time favourite song kutoka kwa Rkelly toka nausikia mara ya kwanza nikiwa darasa la nne early 2000 ni turn back the hands of time.
Yani haujawahi shuka chart kwangu na kwa hilo namkubari sana jamaa

kumbe humu tunapambana na madogo salama lakin mkuu?
 
hebu weka lyrics zake hapa tushauweka kwenye kundi baya
 
Hahaha kwanini mkuu kwani umrim wa kuacha kuitwa dogo unaisha ukifikisha miaka mingapi

hahaha dogo haliishi mkuu hata ukikutana na mtu kakupita siku tu mwaka 2000 ulikuwa la nne daaa acha tu
 
Haujuwi maana ya "hiding in a closet". Uliza maana yake kabla hujakurupuka na siasa uchwara.

Humu tunae mmoja ambae "s/he is hiding in a closet" anajiita Nyani Ngabu.
Duh ya kweli hayo laaazizi maana mimi hao watu ngozi huwa inasisimuka nikisikia wapo karibu.....

Yaani hisia ya kujua kuna shoga karibu au nisikie mtu fulani ni shiga huwa kwangu hainatofauti na kuniambia nifumbe macho halafu ukanivalisha jichatu kubwa jamii ya anakonda shingoni naweza ruka hapa na kwenye mawingu....

SONY Xperia Z5 Premium
 
Back
Top Bottom