We ulikuwa kidato nini mkuu, humu hukawii bishana na babu
Dah kweli heshima yako kiongozi.hahaha nlikuwa form 2 mkuu
Dah kweli heshima yako kiongozi.
Nikiona hizo avatar nahisi haa hawa below 30
Ulipokuwa unasifia ushoga ul ikuwa huelewi au ndiyo una "hide in a closet"? Funguka tu.Duh ya kweli hayo laaazizi maana mimi hao watu ngozi huwa inasisimuka nikisikia wapo karibu.....
Yaani hisia ya kujua kuna shoga karibu au nisikie mtu fulani ni shiga huwa kwangu hainatofauti na kuniambia nifumbe macho halafu ukanivalisha jichatu kubwa jamii ya anakonda shingoni naweza ruka hapa na kwenye mawingu....
SONY Xperia Z5 Premium
Asante tena kwa kunirekebisha mpenzi wangu mahabuba.= tamthilia
Mimi sijaona hizo video lakini jina uliloweka "hiding in a closet" linamaanisha shoga ambae bado anaficha ushoga wake hajaamua kuuacha wazi.
Siku zingine mkisifia vitu muelewe mnachosifia, kama lugha inakupiga chenga ni aheri uulize maana yake kwa wanaoijuwa hiyo lugha kabla ya kukurupuka mbele ya halaiki.
Huo uongo sasa faiza......yaani we hata haujaiona umesema na sasa hivi unaizungumzia kana kwamba umeiona yote.....Ndiyo hayo hayo tu, badala ya kujificha ushoga, hiyo maana yake kunasa kwenye ushoga bila kuweza kuuweka wazi.
Ushoga tu hapo, kushabikia hayo labda uwe kama anaejiita Nyani Ngabu.
Natafsiri tu maana ya hayo maneno. Huwa sitazami huo upuuzi.Huo uongo sasa faiza......yaani we hata haujaiona umesema na sasa hivi unaizungumzia kana kwamba umeiona yote.....
Mimi jana nimeicheki chapter zote na huo ushoga unaouzungumzia mle umewekwa tena kwa sura ya kuficha ingawa nilipeleka mbele.....huwezi fananisha na wengine ambao wanaweka wanaume wanakiss kabisa ila mle ni ile wameweka kama kipande ambacho hata mimi hakikunipa shida kukiforward maana sisapoti mahusiano ya mwanaume na mwanaume hata kidogo na ninavita nayo ile ile.
SONY Xperia Z5 Premium
Kiukweli unanipa wasi wasi au una beef na R.kelly maana si kwa kumchafulia kazi yake namna hii....Ulipokuwa unasifia ushoga ul ikuwa huelewi au ndiyo una "hide in a closet"? Funguka tu.
Huyo jamaa mfuatilie sn ujumbe wake...hupati shida kabisa......hapo kuna kipande cha ujumbe wake ktk WOMAN THREAT..na when a woman FED UP.....anakwambiya mwanamke akikuchoka hata ulie machozi yawe km bahari lakini hawezi kuwa kama mwanzo....Yeah kabisa anaubunifu wa aina yake
SONY Xperia Z5 Premium
Sasa hilo neno unataka nambia R.Kelly ndio kalitumia kwa mara ya kwanza na ndipo hapo hapo likamaanisha ushoga.....ha ha ha ha ha ha faiza sio kweli bwana hebu acha upotoshaji na kuharibu maana.Natafsiri tu maana ya hayo maneno. Huwa sitazami huo upuuzi.
Huyo jamaa mfuatilie sn ujumbe wake...hupati shida kabisa......hapo kuna kipande cha ujumbe wake ktk WOMAN THREAT..na when a woman FED UP.....anakwambiya mwanamke akikuchoka hata ulie machozi yawe km bahari lakini hawezi kuwa kama mwanzo....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa haya maneno yanachoma balaaaHuyo jamaa mfuatilie sn ujumbe wake...hupati shida kabisa......hapo kuna kipande cha ujumbe wake ktk WOMAN THREAT..na when a woman FED UP.....anakwambiya mwanamke akikuchoka hata ulie machozi yawe km bahari lakini hawezi kuwa kama mwanzo....
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah huyo yupo kwenye closet kijana wa wenzako huyo asikutishe.Ohoooooo ha ha ha ha ha ha ha ha leoooo faiza.....unayemdis amekuja unalo leo lazima akuwashie makaa ya mawe
SONY Xperia Z5 Premium
Sasa hilo neno unataka nambia R.Kelly ndio kalitumia kwa mara ya kwanza na ndipo hapo hapo likamaanisha ushoga.....ha ha ha ha ha ha faiza sio kweli bwana hebu acha upotoshaji na kuharibu maana.
Hilo neno lipo tokea miaka na miaka na limekuwa likitumika kama nahau zingine za english kumaanisha ufichaji wa siri, sasa siri ya aina gani....hapo itategemea na simulizi alikuwa anamaanisha anahadithia kuhusu siri gani.
Haya kwa mfano, kwenye ile story R.kelly demu wake alikuwa anatembea na polisi, hapo ushoga upo wapi na ilikuwa ni siri na hata katika kila kipande ambacho walikuwa wanaanza kuvurumua masiri utasikia wanasema its time to get out of the closet. Si kumaanisha ushoga kama wewe unavyotaka imaanishe hebu uache hila mwanamke.
SONY Xperia Z5 Premium