Aisee R.KELLY ni Noma sana.

Aisee R.KELLY ni Noma sana.

Duh ya kweli hayo laaazizi maana mimi hao watu ngozi huwa inasisimuka nikisikia wapo karibu.....

Yaani hisia ya kujua kuna shoga karibu au nisikie mtu fulani ni shiga huwa kwangu hainatofauti na kuniambia nifumbe macho halafu ukanivalisha jichatu kubwa jamii ya anakonda shingoni naweza ruka hapa na kwenye mawingu....

SONY Xperia Z5 Premium
Ulipokuwa unasifia ushoga ul ikuwa huelewi au ndiyo una "hide in a closet"? Funguka tu.
 
= tamthilia

Mimi sijaona hizo video lakini jina uliloweka "hiding in a closet" linamaanisha shoga ambae bado anaficha ushoga wake hajaamua kuuacha wazi.

Siku zingine mkisifia vitu muelewe mnachosifia, kama lugha inakupiga chenga ni aheri uulize maana yake kwa wanaoijuwa hiyo lugha kabla ya kukurupuka mbele ya halaiki.
Asante tena kwa kunirekebisha mpenzi wangu mahabuba.

Ila sasa na wewe mpenzi usiwe unapenda kutunga vitu au kupotosha maana. Maudhui ya ile simulizi ya 'Hiding in a closet' ni kuonyesha mambo ambayo huwa yanafichwa ndani ya mahusiano ya kimapenzi na ndivyo namna mpangilio wa visa umewekwa ukitazama yote na hiyo story ya yule mashoga ni sehemu ndogo sana ya ile simulizi yaani ni kama 5% ya story nzima. Ila sehemu kubwa ni mambo mengine na vimbwanga vinginevyo vya maisha ya kawaida.

Kwa tafasiri ya kawaida unaposema 'hiding in the closet' ina maanisha kujificha kwenye kabati la nguo. Na pale mimi sikuona shoga akijificha kwenye kabati isipokuwa ni R.kelly baada ya jamaa kumfumania alipokuja ile asubuhi, yule babu aliyekuwa anakunywa pombe akajibanza na ndio akapata siri ya yule mume wa mtu aliyekuwa anaongea na shoga, na kale kambilikimo kalikokuwa anatembea na mume wa askari ni hizo sehemu tu wameonyesha kwa vitendo kujificha kwenye kabati ila kimaudhui 'hiding in the closet' si neno lenye maana ya moja kwa moja kumaanisha siri ya mahusiano ya jinsia moja sio kweli.

Kuna misemo mengine ina fanania na huu mfano, cleaning out my closet, alilitumia eminem kumaanisha anatoa siri kifuani kwake ili asuluhishe tofauti na mama yake, kuna mwingini msemo husema, skeletons in a closet, kwa maana ya siri kubwa anayoficha mtu.

So usipindishe maana ya neno ambalo limesimama kwa maana ambayo ipo wazi kabisa ili uweze kutetea hoja yako, sawa mpenzi?!

SONY Xperia Z5 Premium
 
Ndiyo hayo hayo tu, badala ya kujificha ushoga, hiyo maana yake kunasa kwenye ushoga bila kuweza kuuweka wazi.

Ushoga tu hapo, kushabikia hayo labda uwe kama anaejiita Nyani Ngabu.
Huo uongo sasa faiza......yaani we hata haujaiona umesema na sasa hivi unaizungumzia kana kwamba umeiona yote.....

Mimi jana nimeicheki chapter zote na huo ushoga unaouzungumzia mle umewekwa tena kwa sura ya kuficha ingawa nilipeleka mbele.....huwezi fananisha na wengine ambao wanaweka wanaume wanakiss kabisa ila mle ni ile wameweka kama kipande ambacho hata mimi hakikunipa shida kukiforward maana sisapoti mahusiano ya mwanaume na mwanaume hata kidogo na ninavita nayo ile ile.

Natafsiri tu maana ya hayo maneno. Huwa sitazami huo upuuzi.
 
Ulipokuwa unasifia ushoga ul ikuwa huelewi au ndiyo una "hide in a closet"? Funguka tu.
Kiukweli unanipa wasi wasi au una beef na R.kelly maana si kwa kumchafulia kazi yake namna hii....
.kwanza umesema haujaiona sasa umewezaje kuconclude kuwa ni ya mashoga.....?!

Ukiwa muongo uwe unakumbuka vema ujue?!

SONY Xperia Z5 Premium
 
Utakuwa na hamu ya jihogo la Kinyantuzu wewe....si bure.
Ohoooooo ha ha ha ha ha ha ha ha leoooo faiza.....unayemdis amekuja unalo leo lazima akuwashie makaa ya mawe

SONY Xperia Z5 Premium
 
Yeah kabisa anaubunifu wa aina yake

SONY Xperia Z5 Premium
Huyo jamaa mfuatilie sn ujumbe wake...hupati shida kabisa......hapo kuna kipande cha ujumbe wake ktk WOMAN THREAT..na when a woman FED UP.....anakwambiya mwanamke akikuchoka hata ulie machozi yawe km bahari lakini hawezi kuwa kama mwanzo....
524c83d41dd3922dac7a104a9cbd70fc.jpg
ab92988dbbbafe7bf4737dda224b1143.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafsiri tu maana ya hayo maneno. Huwa sitazami huo upuuzi.
Sasa hilo neno unataka nambia R.Kelly ndio kalitumia kwa mara ya kwanza na ndipo hapo hapo likamaanisha ushoga.....ha ha ha ha ha ha faiza sio kweli bwana hebu acha upotoshaji na kuharibu maana.

Hilo neno lipo tokea miaka na miaka na limekuwa likitumika kama nahau zingine za english kumaanisha ufichaji wa siri, sasa siri ya aina gani....hapo itategemea na simulizi alikuwa anamaanisha anahadithia kuhusu siri gani.

Haya kwa mfano, kwenye ile story R.kelly demu wake alikuwa anatembea na polisi, hapo ushoga upo wapi na ilikuwa ni siri na hata katika kila kipande ambacho walikuwa wanaanza kuvurumua masiri utasikia wanasema its time to get out of the closet. Si kumaanisha ushoga kama wewe unavyotaka imaanishe hebu uache hila mwanamke.

Ni kweli kabisa haya maneno yanachoma balaaa

SONY Xperia Z5 Premium
 
Ohoooooo ha ha ha ha ha ha ha ha leoooo faiza.....unayemdis amekuja unalo leo lazima akuwashie makaa ya mawe

SONY Xperia Z5 Premium
Aah huyo yupo kwenye closet kijana wa wenzako huyo asikutishe.
 
Sasa hilo neno unataka nambia R.Kelly ndio kalitumia kwa mara ya kwanza na ndipo hapo hapo likamaanisha ushoga.....ha ha ha ha ha ha faiza sio kweli bwana hebu acha upotoshaji na kuharibu maana.

Hilo neno lipo tokea miaka na miaka na limekuwa likitumika kama nahau zingine za english kumaanisha ufichaji wa siri, sasa siri ya aina gani....hapo itategemea na simulizi alikuwa anamaanisha anahadithia kuhusu siri gani.

Haya kwa mfano, kwenye ile story R.kelly demu wake alikuwa anatembea na polisi, hapo ushoga upo wapi na ilikuwa ni siri na hata katika kila kipande ambacho walikuwa wanaanza kuvurumua masiri utasikia wanasema its time to get out of the closet. Si kumaanisha ushoga kama wewe unavyotaka imaanishe hebu uache hila mwanamke.

SONY Xperia Z5 Premium

Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda kwa mapunguani kama wewe.
Kila unavyofundishwa maana ya hilo neno huelewi, una matatizo ya ufahamu?

Jisomee:

In the Closet—A Close Read of the Metaphor
Hannah L. Kushnick

One persistent issue in gay life in general, and in the medical treatment of LGBTQ patients more particularly, is that widespread intolerance leads people to conceal their sexual behaviors or identities, leading to incompleteness or inaccuracy in their histories and impairing the ability of their physicians to treat them. In English, a person concealing his or her sexual identity is said to be “in the closet.” This phrase can tell us quite a bit about the experience it describes. Let’s go through it backwards, word by word.

Why the “Closet?”
Soma zaidi Kama unaelewa kilichoandikwa: VM -- In the Closet--A Close Read of the Metaphor, Aug 10 ... Virtual Mentor
 
Back
Top Bottom