Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
This is the Radio Message to my baby...... Jamaa yuko poa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado haujaweza kujustify issue ya uhusiano kati ya tabia ya homosexuality na hilo neno.....ngoja nitafute clips au maandiko ambayo hiyo nahau imetumika bila kuhusishwa na homosexuality...... Ila nadhani nyuma ya huu msisitizo wako kuna ajenda ya siri ambayo unaijua wewe mwenyewe mwisho wa siku unatakiwa kuwa muwazi sio unazungumza ajenda nyingine ila matendo yanalenga kusisitiza jambo la tofuti.Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda kwa mapunguani kama wewe.
Kila unavyofundishwa maana ya hilo neno huelewi, una matatizo ya ufahamu?
Jisomee:
In the Closet—A Close Read of the Metaphor
Hannah L. Kushnick
One persistent issue in gay life in general, and in the medical treatment of LGBTQ patients more particularly, is that widespread intolerance leads people to conceal their sexual behaviors or identities, leading to incompleteness or inaccuracy in their histories and impairing the ability of their physicians to treat them. In English, a person concealing his or her sexual identity is said to be “in the closet.” This phrase can tell us quite a bit about the experience it describes. Let’s go through it backwards, word by word.
Why the “Closet?”
Soma zaidi Kama unaelewa kilichoandikwa: VM -- In the Closet--A Close Read of the Metaphor, Aug 10 ... Virtual Mentor
Sina cha ku justify hapa. Unaonyesha hata maana ya ku "justify" huielewi.Bado haujaweza kujustify issue ya uhusiano kati ya tabia ya homosexuality na hilo neno.....ngoja nitafute clips au maandiko ambayo hiyo nahau imetumika bila kuhusishwa na homosexuality...... Ila nadhani nyuma ya huu msisitizo wako kuna ajenda ya siri ambayo unaijua wewe mwenyewe mwisho wa siku unatakiwa kuwa muwazi sio unazungumza ajenda nyingine ila matendo yanalenga kusisitiza jambo la tofuti.
SONY Xperia Z5 Premium
Sina cha ku justify hapa. Unaonyesha hata maana ya ku "justify" huielewi.
Hapa nnakupa darsa la lugha la bure. Elimu bila khiyana.
Wewe utakuwa ni wale wale tu wa kwenye closet, hauna tofauti na anaejiita Nyani Ngabu.
Hauna lolote.......unapenda kushinda kwa nguvu bila hoja ya msingi, ila hapa umefika......nakukata kidiplomasia hadi utanyooka.Sina cha ku justify hapa. Unaonyesha hata maana ya ku "justify" huielewi.
Hapa nnakupa darsa la lugha la bure. Elimu bila khiyana.
Wewe utakuwa ni wale wale tu wa kwenye closet, hauna tofauti na anaejiita Nyani Ngabu.
Kweli baraaaaaaa
When a woman love!This is the Radio Message to my baby...... Jamaa yuko poa
Bila kusahau storm is over.This is the Radio Message to my baby...... Jamaa yuko poa
true mastaBila kusahau storm is over.
brain is the beautiful part of the body.
Mr. huyu jamaa ni noma, naichek now ni ubunifu mmoja matata sana ni km movie flan hiv.Jana nilipata muda nikiwa nimepumzika nikacheki chapter 22 za ile nyimbo yenye series za chapter inayoitwa HIDDING IN CLOSET. Aisee ule ubunifu sijawahi kuona, yaani ni uimbaji kwa njia ya majibizano( dialogue).
Sasa kinachofanya hiyo kazi kuwa tamu zaidi ni vibwagizo alivyoweka R.kelly katika hiyo simulizi. Kwa wale ambao hamjawahi kuiona ingia tu Youtube uicheki.....just type Trapped in the closet itakuja.......ni video fupi za dakika Mbili hadi tatu ila zipo nyingi na ni story ya muendelezo zipo 22.
SONY Xperia Z5 Premium
Mimi nina fav kadhaa mkuu. Ila kuna hizi ambazo zilinisaidia katika mambo yetu yale ya watu wazima kutafuta mtoto usiku. Zikiwamo 12 Play....Honey Love na Your body is calling ..bila kusahau It seems like you ready. Huyu jamaa sio mtu spoti spoti. Nikiwa nimewasha mishumaa huku anaunguruma taratibu kwenye stereo na mimi natembeza gwaride kwa mama yoyoo.Mimi my all time favourite song kutoka kwa Rkelly toka nausikia mara ya kwanza nikiwa darasa la nne early 2000 ni turn back the hands of time.
Yani haujawahi shuka chart kwangu na kwa hilo namkubari sana jamaa
Huyo mmama mzoee tu,baadhi ya wazee wakishastaafu wanapagawa wanakuwa wakorofikorofi,ndo matatizo ya kutumia vibaya kiinua mgongo,she is salty AF.JF ianzishe jukwaa wazee wakavu ili aache kutusumbua.nahisi atakuwa mjane pia.Kiukweli unanipa wasi wasi au una beef na R.kelly maana si kwa kumchafulia kazi yake namna hii....
.kwanza umesema haujaiona sasa umewezaje kuconclude kuwa ni ya mashoga.....?!
Ukiwa muongo uwe unakumbuka vema ujue?!
SONY Xperia Z5 Premium
Mmhhh!!!Haujuwi maana ya "hiding in a closet". Uliza maana yake kabla hujakurupuka na siasa uchwara.
Humu tunae mmoja ambae "s/he is hiding in a closet" anajiita Nyani Ngabu.
UmelazimishwaNtacheki! Nina MB 2! Bora nisomesome kwanza mshahara ukiingia ntaicheki! Asante