Aisee! Ulokole unalipa

Aisee! Ulokole unalipa

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Kwa kifupi... niliingia humo muda si mrefu...

Lakini ni wazi, pasi na shaka ya aina yoyote kuna faida nyingi mno.
  1. Kiuchumi: Baada ya kutenga sadaka, pesa inayobaki inaniwezesha kukidhi mahitaji. Yaani, inakutana na hesabu ya mwezi unaofuata.
  2. Kijamii: Heshima inakuja hata kutoka kwa wale ambao hapo awali walinidharau.
  3. Miradi: Miradi mbalimbali ambayo ilionekana kama imeshindikana au kufa kabisa sasa imefufuka na inafanya vyema, mfano ujenzi.
  4. Afya: Mwili unakuwa na nguvu ya kufanya kazi kwa muda mrefu bila kuchoka wala kupata kiu ya pombe.
  5. Mengineyo: Hata mwanamke akiwa amevaa nusu uchi au nguo za kubana, sijielekezi kuangalia makalio yake na michirizi ya chupi kama ilivyokuwa awali.
  6. Muonekano: Sura (uso) umebadilika, nimekuwa na nuru na uangavu wa kipekee. Nikilinganisha na enzi za 'weka mchupa toa mchupa' a.k.a 'leta kama tulivyo, zungusha round'.
  7. Amani: Nimekuwa na utulivu wa ajabu ndani ya nafsi yangu kiasi kwamba nina uwezo wa kushughulikia mambo magumu na mazito bila kutoa matusi kama hapo awali.
NB:
Mimi si mwanachama wa makanisa ya miujiza na mboga mboga.

Nimeokoka kibinafsi chumbani kwangu na Mungu wangu.

Mafundisho nafuata kutoka kwa wachungaji mchanganyiko mitandaoni wanaohubiri kweli na sadaka ninatuma humo humo.
 
hili NIMEJIONEA, ni mimi tu nashindwa kukeep up kwa muda mrefu,

napenda sana chupi na kuna mda na give up kusali. ila ulinilipa sana mda fulani.
 
Me nikajua unapata vitafunwa kwa urahisi, so nikupiga miti tu, kumbe izo
 
Mimi tokea tarehe 1 mwezi huu nimeokoka hakika kwanza nimejitambua kupita kawaida,then tumaini na mwanga kwenye maswala yangu umetokea gafla,pia wanawake hawana nafsi kwenye maisha yangu yaani namuona mtenda dhambi kama mshamba fulani hivi,sometime namfananisha na nguruwe aliyejipaka kinyesi cha mwanadamu,mambo ya dunia hii hayanibabaishi kama una cheo ama chochote kuna namna nakuona kama mimi ndio nakutawala tu,lingine nikitembea naona kama dunia sio mahali pangu hivyo na kuwa makini sana.

Shetani namuona ni mshamba tu na mambo yake ya dhambi,dhambi ambayo zamani unajiona mjanja kufanya.
 
Kwa kifupi... niliingia humo muda si mrefu...

Lakini ni wazi, pasi na shaka ya aina yoyote kuna faida nyingi mno.
  1. Kiuchumi: Baada ya kutenga sadaka, pesa inayobaki inaniwezesha kukidhi mahitaji. Yaani, inakutana na hesabu ya mwezi unaofuata.
  2. Kijamii: Heshima inakuja hata kutoka kwa wale ambao hapo awali walinidharau.
  3. Miradi: Miradi mbalimbali ambayo ilionekana kama imeshindikana au kufa kabisa sasa imefufuka na inafanya vyema, mfano ujenzi.
  4. Afya: Mwili unakuwa na nguvu ya kufanya kazi kwa muda mrefu bila kuchoka wala kupata kiu ya pombe.
  5. Mengineyo: Hata mwanamke akiwa amevaa nusu uchi au nguo za kubana, sijielekezi kuangalia makalio yake na michirizi ya chupi kama ilivyokuwa awali.
  6. Muonekano: Sura (uso) umebadilika, nimekuwa na nuru na uangavu wa kipekee. Nikilinganisha na enzi za 'weka mchupa toa mchupa' a.k.a 'leta kama tulivyo, zungusha round'.
  7. Amani: Nimekuwa na utulivu wa ajabu ndani ya nafsi yangu kiasi kwamba nina uwezo wa kushughulikia mambo magumu na mazito bila kutoa matusi kama hapo awali.
NB:
Mimi si mwanachama wa makanisa ya miujiza na mboga mboga.

Nimeokoka kibinafsi chumbani kwangu na Mungu wangu.

Mafundisho nafuata kutoka kwa wachungaji mchanganyiko mitandaoni wanaohubiri kweli na sadaka ninatuma humo humo.
Hongera
 
Me nikajua unapata vitafunwa kwa urahisi, so nikupiga miti tu, kumbe izo
Huwezi amini nimekuwa na uwezo wa ajabu wa kujizuia mihemko/tamaa za kingono....na kwa kifupi ndio wanajilengesha kweli kweli....na kila nikiwakwepa kuna kitu napata kwa ghafula i.e. mtu ninayemdai ananilipa from no where.
 
Mimi tokea tarehe 1 mwezi huu nimeokoka hakika kwanza nimejitambua kupita kawaida,then tumaini na mwanga kwenye maswala yangu umetokea gafla,pia wanawake hawana nafsi kwenye maisha yangu yaani namuona mtenda dhambi kama mshamba fulani hivi,sometime namfananisha na nguruwe analijipaka kinyesi cha mwanadamu,mambo ya dunia hii hayanibabaishi kama una cheo ama chochote kuna namna nakuona kama mimi ndio nakutawala tu,lingine nikitembea naona kama dunia sio mahali pangu hivyo na kuwa makini sana.

Shetani namuona ni mshamba tu na mambo yake ya dhambi,dhambi ambayo zamani unajiona mjanja kufanya.
Nakupa MOYO
Kamwe usiiache njia hiyo....kwani ndio siri ya uhai na uzima wa vyote. 👍
 
Haya mambo ukiyajua mapema life is good

Salvation
Tithing

Wanaotawala ktk roho ndo hao hutawala ktk mwili wa nyama physical body.
Well said mkuu.
Lakini mtihani ni kwamba haya mambo hayaeleweki kwa akili.
Mfano mzuri ni mimi mwenyewe.....najishangaa....
Na ndipo ninapopata tafsiri ya neno..NEEMA.
 
Kwa kifupi... niliingia humo muda si mrefu...

Lakini ni wazi, pasi na shaka ya aina yoyote kuna faida nyingi mno.
  1. Kiuchumi: Baada ya kutenga sadaka, pesa inayobaki inaniwezesha kukidhi mahitaji. Yaani, inakutana na hesabu ya mwezi unaofuata.
  2. Kijamii: Heshima inakuja hata kutoka kwa wale ambao hapo awali walinidharau.
  3. Miradi: Miradi mbalimbali ambayo ilionekana kama imeshindikana au kufa kabisa sasa imefufuka na inafanya vyema, mfano ujenzi.
  4. Afya: Mwili unakuwa na nguvu ya kufanya kazi kwa muda mrefu bila kuchoka wala kupata kiu ya pombe.
  5. Mengineyo: Hata mwanamke akiwa amevaa nusu uchi au nguo za kubana, sijielekezi kuangalia makalio yake na michirizi ya chupi kama ilivyokuwa awali.
  6. Muonekano: Sura (uso) umebadilika, nimekuwa na nuru na uangavu wa kipekee. Nikilinganisha na enzi za 'weka mchupa toa mchupa' a.k.a 'leta kama tulivyo, zungusha round'.
  7. Amani: Nimekuwa na utulivu wa ajabu ndani ya nafsi yangu kiasi kwamba nina uwezo wa kushughulikia mambo magumu na mazito bila kutoa matusi kama hapo awali.
NB:
Mimi si mwanachama wa makanisa ya miujiza na mboga mboga.

Nimeokoka kibinafsi chumbani kwangu na Mungu wangu.

Mafundisho nafuata kutoka kwa wachungaji mchanganyiko mitandaoni wanaohubiri kweli na sadaka ninatuma humo humo.
Mchupa ndio nini? Hijawahi kuwa mnywaji acha kuchota watu. Alafu hapo kikubwa ni self discipline tu. Sip ulokole wala nini
 
Well said mkuu.
Lakini mtihani ni kwamba haya mambo hayaeleweki kwa akili.
Mfano mzuri ni mimi mwenyewe.....najishangaa....
Na ndipo ninapopata tafsiri ya neno..NEEMA.

Kweli upo sahihi ukiokoka mambo yanafunguka Sana .

Sex ngono (uzinzi) umewateketeza Sana vijana ,
 
Mchupa ndio nini? Hijawahi kuwa mnywaji acha kuchota watu. Alafu hapo kikubwa ni self discipline tu. Sip ulokole wala nini
Mchupa ni pombe.........nimekunywa pombe mpaka za kienyeji....mbali na self discpline....lakini ukaribu na Mwenyezi Mungu.....kuacha dhambi....kutenda mema.....kusoma sana neno la Mungu.
 
Back
Top Bottom