OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Wapewe maua yao hawa KMC,
Manispaa zingine nazo ziige mfano kwa KMC
Nilikuwa naangalia Kagame cup, nimeuangalia uwanja wa KMC nikajua mzee Bakhresa kafanya ukarabati mkubwa,
Mechi iliyofuata ya saa 12 nikashangaa kuona minazi na majumba nje ya kuta za uwanja ndipo nilipogundua kumbe ni azam complex
Aisee ukiungalia huu uwanja kisha ukaungalia uwanja wa azam unaweza kutapika
Mzee bakhresa afanye kitu