OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
PichaWapewe maua yao hawa KMC,
Manispaa zingine nazo ziige mfano kwa KMC
Nilikuwa naangalia Kagame cup, nimeuangalia uwanja wa KMC nikajua mzee Bakhresa kafanya ukarabati,
Mechi iliyofuata ya saa 12 nikashangaa kuona minazi na majumba nje ya kuta za uwanja ndipo nilipogundua kumbe ni azam complex
Aisee ukiungalia huu uwanja kisha ukaungalia uwanja wa azam ujaweza kutapika
Mzee bakhresa afanye kitu
Angalia highlights za costal union kagame cup mechi ya leo utauona vizuri huo uwanjaPicha
NdioKagame cup inafanyika dar kwani mkuu
Ok sawaNdio
Hii wakiweza wajenge pale biafraNilisema hili mapema baadhi ya watu hawakuamini ni uwanja mzuri sana wapewe kongole Wana kinondoni Sasa wajenge na arena ndogo ya watu 2000 kwa ajili ya basketball netball handball na indoor games nyingine iwe na international standards
Pictures
Picha
Msamehe bure.Kagame cup inafanyika Dar kwani mkuu
Mzee hyo ni kwa Mzee kagame Rwanda sio TanzaniaAngalia highlights za costal union kagame cup mechi ya leo utauona vizuri huo uwanja
Sawa kabisa maana ni rahisi kufika na kuondokaHii wakiweza wajenge pale biafra
dah kweli majina husadifu sifa ya mtu.....Mzee hyo ni kwa Mzee kagame Rwanda sio Tanzania
wewe ndio usamehewe,Msamehe bure.