Aisee uwanja wa KMC ni mzuri kuliko uwanja wa Azam

Uwanja mzuri hongera kwa KMC.
 
Vipi Mo bunju arena kunaendeleaje?
 
Umejengwa kwa kodi zenu, wana wekeza pale ambapo watu wengi hasa wajinga wanapenda, ilihali hapo hapo Dar Kinondoni unakuta kuna barabara na mitaro haifau kabisa.
Kwani michezo sio muhimu? Huo uwanja utawanufaisha sana tu wakazi wa Dar. Kwa hiyo unataka kusema maisha mengine yasiendelee hadi barabara zote zikamilike? Hakuna kitu kama hicho, pesa hiyo ya Kodi ingekuwa imeliwa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…