Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Nimebahatika kuitazama video ya wimbo wa Meja Kunta aliowashirikisha Marioo na Mabantu ,tuongeeeni tu ukweli video ni kali mno yani haichoshi kuitazama.
Uwepo wa Marioo kwenye huu wimbo umezidi kuunogesha wimbo haswa pale anapoimba "Mtoto anataka Nini ,Mtoto anataka helaaaa "
Natabiria kijana ataupeleka mbali sana huu muziki wa singeli ambao kwa namna moja au nyingine unazidi kupata mashabiki wa kila rika.
Hongera za kipekee zimfikie Meja na team yake nzima bila kumsahau director wa huu wimbo maana ameushoot kwa viwango bora kabisa.
Nimewasogezea link muende mukautazame Kisha mnipe majibu.
Bahati ya kuitazama hiyo video maana ni kali mno aisee.Sijajua neno 'BAHATI' siku hizi lina maana gani.
Kwenda tu YouTube kuangalia video ya Wimbo nayo ni Bahati? Au haijawa released bado?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Meja kunta ni handsome kumbe[emoji7]
Kabisa yani 🔥🔥🔥🔥Hiyo nyimbo nzuri + beat 🤣🤣🤣🏃♂️
Nimesema sikuachiiii
Nakupenda wewe na hao michepuko zako
Oya weee
Me sijuagwi kuachaa
Nang’ang’a kama ruba
Nimempenda kweli. Nilikuwa sijawahi kuona picha yake.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Una bwana?Nimempenda kweli. Nilikuwa sijawahi kuona picha yake.
Nikuunganisha naye??Nimempenda kweli. Nilikuwa sijawahi kuona picha yake.
Sawa
Mie sio mpenzi wa singeli, hivyo hata sijaelewa.Nipe maoni yako
video kama video achilia mbali kilichoimbwaMie sio mpenzi wa singeli, hivyo hata sijaelewa.