Aisee we mwanaume mwenzangu uliyekuwa na mpenzi wako hapa rainbow pub kwa nje mnakula chipsi kesho nakugongea demu wako.

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
11,931
Reaction score
15,849
rainbow pub iko dodoma kwa msioijua.
kosa ulilofanya ni kudhani me nimelewa ukaniacha meza moja na demu wako ukaenda kuongea na simu muda mrefu,nimempa business card yangu na ameshanitafuta na nimemtongoza,kesho namgonga.
utanisamehe sana mwanaume mwenzangu.
 
Mkuu unakumbuka huu ni mwezi wa Kwaresma !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabia za wavulana na kama wewe ni zakipuuzo, acha kutangaza au unazani sisi wanaume hatugongi wasichana?
rainbow pub iko dodoma kwa msioijua.
kosa ulilofanya ni kudhani me nimelewa ukaniacha meza moja na demu wako ukaenda kuongea na simu muda mrefu,nimempa business card yangu na ameshanitafuta na nimemtongoza,kesho namgonga.
utanisamehe sana mwanaume mwenzangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
rainbow pub iko dodoma kwa msioijua.
kosa ulilofanya ni kudhani me nimelewa ukaniacha meza moja na demu wako ukaenda kuongea na simu muda mrefu,nimempa business card yangu na ameshanitafuta na nimemtongoza,kesho namgonga.
utanisamehe sana mwanaume mwenzangu.
Hongera kwa kumpa busness card huyo demu mi mwenyewe simtaki kwa sababu ana skendo ya HIV + Nilikuwa nazuga na simu mda mrefu ili nipate gia ya kumuacha pale.ASANTE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom