ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
nimepigwa na butwaa Nimekutana na video kwenye X inayoonekana kumuonyesha mtoto mdogo sana, labda wa miaka sita, akifanyiwa ukatili wa kingono. Na sio video ya AI ni tukio halisi kabisa.
Hivi inawezekanaje mtandao mkubwa kama X ukaruhusu maudhui ya aina hii kusambaa? Wana mifumo gani ya kugundua na kuondoa video hizi kabla hazijafikia watu wengi?
Hapa hatuzungumzii pornografia ya watu wazima, tunazungumzia unyanyasaji wa watoto ambao ni uhalifu mkubwa.
Hivi tatizo ni teknolojia ya kudhibiti maudhui, uzembe wa kampuni au sheria kutokuwa na meno ya kutosha?
Kwa kweli nimebaki na maswali mengi sana mbona meta wameweza twitter Hapana kwa kweli sio sawa