Aiseee! Nimeamini wanawake wanapenda pesa. Cheki hii kitu kuthibitisha ...

Aiseee! Nimeamini wanawake wanapenda pesa. Cheki hii kitu kuthibitisha ...

Mkuu, kama vipi hizo siku tatu zinazobaki nipasie na mimi nipige chenga, si unajua mpir pasi siku hizi?mimi nitakuwa nampa 20,000 VAT inclusive
 
Anafanya Kaz Benk Gani? Alafu Mbona Kma Anapata Faida Mara 2 Kwa Siku Na Kwa Mtu Mmoja?!! May Be Shida Yake Ni Sex, Hiyo 15000 Ni Nyongeza!!! Ila Nimefungua Thread Nikidhan Ni Mwanamke Wa Laki 3 Kwa Siku. Kumbe Buku Jero[emoji3] [emoji3] [emoji3] !! Buku 15 Si Kma Buku Jero!
Iyo buku 15 unatapa mfuko wa cement na chench inarudi mkuu
 
Mkuu, kama vipi hizo siku tatu zinazobaki nipasie na mimi nipige chenga, si unajua mpir pasi siku hizi?mimi nitakuwa nampa 20,000 VAT inclusive
[emoji3] [emoji3] [emoji3] !! Hii Mega Pixel Kweli!!!
 
Ulichopost ni ujinga mtupu. Tumia simu na mitandao kwa shughuli za maendeleo na kuelimisha jamii. Wewe muda uliotumia kupost ujinga wako hauna tofauti na wcheza pool asubuhi alioagiza mh.magufuli wakamatwe.
 
Samahani ila siwezi itaja hiyo benki. Ni hapa Dar.
Mkuu yaelekea umetekwa nafsi yako kw penzi zito na huyo mrembo...[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kulikuwa hakuna sababu ya kuleta huu uzi hapa.
Wazee wa Papuchii wanahitaji address ww unabana[emoji15] [emoji15] [emoji12] Kisa ni wivu ???
Wasiliana nao PM uwape hiyo address na cell number...
 
Nimewahi fika benki anapofanya kazi kujifanya naulizia taratibu za kufungua akaumt, tena wala yeye sikumpa taarifa kuwa ningeenda ila alikuwa dirishani counter na uniform kama za wenzake akihudumia wateja dirishani, hivyo sidhani kama ni mfagizo au labda alisuka dili la kudanganya na hao wenzake.
Mkuuu.,kufanya kazi sio kigeozo cha kumficha mtu Tabia yake..,Huyo,dada ni tabia yake..,ni mpenda ngono..,na wenye tabia hizo wapo wengi tu na wanafanya kazi kubwaaaa.,ofisi zenye hadhi lkn ni malaya wa kutupwa tu..,
 
Ushakula sana, siku nyingine mwambie huna 15 una 10, atazoea mpaka utakuwa unakula bure

Ndo raha ya kuwa mteja wa kudumu, sometimes unakopa service! Au unadhani bidhaa tu ndo inakopwa
 
Nimeamini hawa viumbe wanapenda pesa.

Kuna mwanamke mmoja anafanya kazi benki hapa dar es salaam kama teller tunatoka mtaa mmoja, ni mzuri sana. Ana mkia na kiuno cha nyigu, sio bonge na mfupi kama 5'2 hivi na ana matege fulani hivi ya mbaaaaaali kama ya christina aguilera. mi nina shughuli zangu hivyo mara kadhaa tumekuwa tukikutana kituo cha basi. Tawi lake yaani ofisini sio mbali na anapokaa ni kama mwendo wa dk 25-30 kwa daladala.

Kutokana na kuonana mara kwa mara tukazoeana. Ikafika mahali nikamrushia ndoano. Aligoma akidai tuwe tu marafiki. Siku moja weekend tukatoka kunywa soda kidogo nikamtania awe ananipa kisha kila akinipa nampa elfu 15 za kitanzania.

Siku ilofuata tu jioni anatoka kazini kaniambia nimpitie, natumia usafiri wa daladala, siku hiyo nikasema liwalo na liwe nilikuwa na mzuka nae, nikashuka nae kituoni mwisho, vuta guest piga shoo. Baada ya hapo sasa ni karibu kila siku akitoka kazini ataniambia, "hela yangu". Nampitia naenda napiga, nampa 15 yake maisha yanaendelea. Ila imekuwa too much sasa karibu kila akitoka kazini.

Uchumi nao rais kaubana kiaina mambo hayaendi sawa kivile maana inanibidi kidume niwe natimiza ahadi ya 15 haijalishi yeye anataka seks au 15, inanibidi tu nimpage, na papuchi yake bado naiinjoi sana maana ina kila utamu.
Huyo ni KAHABA
 
Pole sana... umepunguzia vitu vingi sana hapo.. yani mshahara wake haugusi...
 
sio uoga we si mwanaume taja dau lako la mwisho...hakuna cha pm yani tutamalizana hapahapa mbele za mashahidi ili ukinikopa nije kushtaki hapa,teh

Ninatoa offer ya kukupa mara 2 ya hiyo anayolipwa huyo dada per Day
 
Back
Top Bottom