Aiseee! Nimeamini wanawake wanapenda pesa. Cheki hii kitu kuthibitisha ...

Mkuu, kama vipi hizo siku tatu zinazobaki nipasie na mimi nipige chenga, si unajua mpir pasi siku hizi?mimi nitakuwa nampa 20,000 VAT inclusive
 
Iyo buku 15 unatapa mfuko wa cement na chench inarudi mkuu
 
Mkuu, kama vipi hizo siku tatu zinazobaki nipasie na mimi nipige chenga, si unajua mpir pasi siku hizi?mimi nitakuwa nampa 20,000 VAT inclusive
[emoji3] [emoji3] [emoji3] !! Hii Mega Pixel Kweli!!!
 
Ulichopost ni ujinga mtupu. Tumia simu na mitandao kwa shughuli za maendeleo na kuelimisha jamii. Wewe muda uliotumia kupost ujinga wako hauna tofauti na wcheza pool asubuhi alioagiza mh.magufuli wakamatwe.
 
Samahani ila siwezi itaja hiyo benki. Ni hapa Dar.
Mkuu yaelekea umetekwa nafsi yako kw penzi zito na huyo mrembo...[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kulikuwa hakuna sababu ya kuleta huu uzi hapa.
Wazee wa Papuchii wanahitaji address ww unabana[emoji15] [emoji15] [emoji12] Kisa ni wivu ???
Wasiliana nao PM uwape hiyo address na cell number...
 
Mkuuu.,kufanya kazi sio kigeozo cha kumficha mtu Tabia yake..,Huyo,dada ni tabia yake..,ni mpenda ngono..,na wenye tabia hizo wapo wengi tu na wanafanya kazi kubwaaaa.,ofisi zenye hadhi lkn ni malaya wa kutupwa tu..,
 
Ushakula sana, siku nyingine mwambie huna 15 una 10, atazoea mpaka utakuwa unakula bure

Ndo raha ya kuwa mteja wa kudumu, sometimes unakopa service! Au unadhani bidhaa tu ndo inakopwa
 
Huyo ni KAHABA
 
Pole sana... umepunguzia vitu vingi sana hapo.. yani mshahara wake haugusi...
 
sio uoga we si mwanaume taja dau lako la mwisho...hakuna cha pm yani tutamalizana hapahapa mbele za mashahidi ili ukinikopa nije kushtaki hapa,teh

Ninatoa offer ya kukupa mara 2 ya hiyo anayolipwa huyo dada per Day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…