Aiseee! Nimeamini wanawake wanapenda pesa. Cheki hii kitu kuthibitisha ...

[emoji13] [emoji13] usiseme hivyo watu wakiombwa buku tano tu wanakuja kulalama hapa...kwa wanaume wengine 15 ni kubwa mno
Mwenyewe kwangu nikubwa mno y nijikweze.siwezi kutoa hiyo hela daily.kwa mwezi 450000.mshara wa mtu huyu tena ana degree au diploma.some time tusipende maisha ya kuigiza be wewe kama wewe.pia honga kulingana na uwezo wako.
 
Hiyo hela ni ndogo sana napata wasiwasi kama kweli ni mfanyakazi wa Benki ,na itamsaidia nini hiyo hela na njaa iliyopo hapa mjini?
 
duu anamkia huyo atakuwa jini? stuka mkuu?
 
aisee...kiasi cha juu cha mwisho unachoweza kutoa ni sh ngapi[emoji144] [emoji144]
Dah.. e bana hii kitu mbona mmepewa bure tu. Msitake malipo muwe mnapokea tu kama asante/sadaka baada ya kumfurahisha mtu. Ukipewa buku au milion upokee tena kiroho safi Mkianza kupanga kiasi basi tuanze kulipishana kodi sasa tena kupitia EFD [emoji12]
 
Mko wengi mnaotoa hiyo 15 kwa wiki atakua anakusanya pesa ndefu, endele kutoa mkuu

Urushe na kapicha kake bas
 


Hongera sana kwa kuwekeza kwenye papuchi, wewe ni wa jioni, kuna mwingine wa usiku na mwingine wa mara moja kwa mwezi ambao hela yako yaweza kuwa ni ya kuwahonga.
 
Hakuna KE asiyependa $$$ dunia hii. Siyo wake zetu, wapenzi, michepuko au ma dada poa. Kinachotofautiana hapo ni aina ya ulipaji. Kama unalipa kwa mkupuo, kwa mkopo au kidogokidogo.
 
Kwa kifupi Kama unalipwa mshahara wa laki 7 basi ukimpiga kila siku utakuwa umepoteza kitu kama laki 4 na elfu 50..hila yeye kajiongezea kipato cha 4500000 kwa mwezi.. Acha kutumia akili ya unga ngano .Tafuta mpenzi utulie nae papucha sio kitu cha kununua .
 
15,000 kwa siku.....hela ya guest unatoa bei gani?! hujamnunulia hata soda...haraka haraka unaweza kutumia 50,000 kwahio show moja....utakuwa na kipato kikubwa sana kuchezea 50,000 per day.
 
Elfu 15 tu wengine nyege zimeshawapanda tiyari jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…