Aisha alipigwa, kuvuliwa nguo zote na Kurekodiwa, Na kwamba akisema kwamba alitekwa Picha zake zitavujishwa Mitandaoni na kumuua

View: https://m.youtube.com/watch?v=UWMD2TZIRiA
Kiongozi wa BAWACHA - Gari jeupe Land Cruiser watu sita namba plate inaanzia na PT ...., mtambuzi mwanamke alinifuatilia toka stendi ya basi tukapanda wote nilidhani ni abiria wa kawaida ...

Wamenidhalilisha walinivua nguo na kunipiga picha nikiwa uchi .... wamenitishia nikiita press conference watavujisha picha hizo za kunidhalilisha ...

Nimepata kipigo kikali mwili wote umevilia damu nawaonesheni sehemu za mikono na miguu muone jinsi maungo yakivyovilia ila siwezi kuwaonesha sehemu nyeti za mgongoni, tumboni ...l

Lakini hospitali ya Mwananyamala nilipopelekwa madaktari na manesi walinikakuga mwili wote kuona kipigo nikichopata ili waweze kunipa huduma sahihi na kunipeleka chumba cha X-Ray kuona majeraha ya ndani ya mwili ...

1:Tunakubali kweli alifanya kosa kuchoma moto vitenge
2:Tunakubali polisi kuwa walikuwa na wajibu wa kumkamata Bi Aisha Kwa kosa la kuchoma vitenge
3:Tunakubali endapo angepelekwa mahakamani Kwa kuchoma vitenge
Lakini mambo haya ndiyo kama jamii tunatakiwa kutafakari uhalali wake:
1: Kulikuwa na ulazima wa kumteka badala ya kumkamata kawaida?
2:Ni haki mtuhumiwa kuvuliwa nguo na kupigwa picha za utupu Kwa mtuhumiwa?
3:Vyombo vya usalama vina haki ya kudhalilisha watuhimiwa Kwa kuwavua nguo?
4:Hukumu ya yule mtuhumiwa ilikuwa nikupigwa na kudhalishwa akiwa uchi?
5:Tanzania ni kweli tumefikia hatua ya kuwalipa mishahara Hawa watuKwa Kwa Kodi za walala hoi?
6:Serikali inabariki adhabu ya aina hii Kwa watuhimiwa?
7:Kosa hili na lile la Binti wa yombo siyo kama Yana mlengo sawa?
8: Kulikuwa na sababu Gani ya kumvua nguo na kumrekodi?
9:Kabisa Serikali inaona hili tukio liko sawa kabisa?
10:Hivi ni kweli kabisa tuna uhakika matukio haya siku Moja hayatakuja choma taifa kweli?
11:Tuna uhakika Watanzania Hawa ni wanyonge kiasi Cha kupokea udhalilisha huu bila Kuona ni tatizo kweli?
12:Tuna uhakika siku Moja mambo haya hayatakuja kutuingiza kwenye maafa ya halaiki kweli?
Najaribu kufikiria Kwa kina kama Vyombo vyetu havina Nia ya kuharibu taswira ya nchi kweli, maana si kumbuki tukio kama hili la mtu kuvuliwa nguo na Vyombo vya usalama Kwa muda mrefu,Wala nchi nyingine
 
Hapa ndipo Tanzania ya Nyerere ilipofikishwa na Watukufu aliowaachia ambao wamejipa Uungu Mtu, Ngoja tuone Mwisho wao.
================

Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Aisha Machano, ambaye anadaiwa kutekwa na kuteswa na baadae kuokotwa kwenye pori la Kibiti, akizungumza tukio zima mara baada ya kuachwa porini Kibiti na kisha kujikuta Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala ambapo alipatiwa matibabu.

Tukio hilo la kutekwa na kuokotwa kwa kiongozi huyo wa Baraza la Wanawake la Chadema Taifa, lilitokoa jana tarehe 19 Oktoba 2024, Kibiti mkoani Pwani na tayari jeshi la polisi limeshatoa taarifa ya kuanza kwa uchunguzi wa tukio hilo.

Soma Pia: Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya

Kama ni kweli hili tukio acha tu atekwe na wajinga wenzake. Mnachoma kangaa mlizopewa kwa heshima miaka mitatu iliyopita na mtu mlikaribisha wenyewe na wenzenu wanakuteka kiongozi wa wachoma kanga yenye picha ya mtu wao aliyowapa kanga hizo. Yaani wote wajinga tu.
Vinginevyo labda tukio hili liwe tukio la chadema la kutengeneza mazingira kuzuga ili kuenesha kwa mabeberu wenye kutafuta sababu ya kuingilia mambo ya tanzania kwamba hakuna uchaguzi wa haki wapinzani wanatekwa.
 
Wanatekana wenyewe hao kuleta fitna, pattern inaonesha wanaotekwa chadema ni Waislam tu. Kwanza Mohamed, sasa Aisha.

Kuna fitna kubwa inapikwa hapa.
wewe na wewe kwa udini? eti wanatekwa waislaam tu. Ungesema chadema wanatekana ingeeleweka ila lazima uzue hisia za kidini ambapo ni uchochezi tu.
 
Sasa kwanini unauogopa Uislam?

Kwani udini ni dhambi kwa mujibiu wa nani? Shetani?

Mimi ni Muislam na najivunia Uislam wangu. Kama kuwa Muislam ni udini, basi mimi ni Mdini namba moja duniani.
 
1:Tunakubali kweli alifanya kosa kuchoma moto vitenge
2:Tunakubali polisi kuwa walikuwa na wajibu wa kumkamata Bi Aisha Kwa kosa la kuchoma vitenge
3:Tunakubali endapo angepelekwa mahakamani Kwa kuchoma vitenge
Lakini mambo haya ndiyo kama jamii tunatakiwa kutafakari uhalali wake:
1: Kulikuwa na ulazima wa kumteka badala ya kumkamata kawaida?
2:Ni haki mtuhumiwa kuvuliwa nguo na kupigwa picha za utupu Kwa mtuhumiwa?
3:Vyombo vya usalama vina haki ya kudhalilisha watuhimiwa Kwa kuwavua nguo?
4:Hukumu ya yule mtuhumiwa ilikuwa nikupigwa na kudhalishwa akiwa uchi?
5:Tanzania ni kweli tumefikia hatua ya kuwalipa mishahara Hawa watuKwa Kwa Kodi za walala hoi?
6:Serikali inabariki adhabu ya aina hii Kwa watuhimiwa?
7:Kosa hili na lile la Binti wa yombo siyo kama Yana mlengo sawa?
8: Kulikuwa na sababu Gani ya kumvua nguo na kumrekodi?
9:Kabisa Serikali inaona hili tukio liko sawa kabisa?
10:Hivi ni kweli kabisa tuna uhakika matukio haya siku Moja hayatakuja choma taifa kweli?
11:Tuna uhakika Watanzania Hawa ni wanyonge kiasi Cha kupokea udhalilisha huu bila Kuona ni tatizo kweli?
12:Tuna uhakika siku Moja mambo haya hayatakuja kutuingiza kwenye maafa ya halaiki kweli?
Najaribu kufikiria Kwa kina kama Vyombo vyetu havina Nia ya kuharibu taswira ya nchi kweli, maana si kumbuki tukio kama hili la mtu kuvuliwa nguo na Vyombo vya usalama Kwa muda mrefu,Wala nchi nyingine

Mtizamo wako ni wa kufikirika sana, kama ni kosa kwanini hakupelekwa mahakamani badala ya kuhukumiwa na wakamataji walio Polisi wakatoa huku ya mahakama isiyotambulika kisheria hivyo Polisi hao wamevunja sheria, katiba na mfumo wa haki jinai.
 
Hapa ndipo Tanzania ya Nyerere ilipofikishwa na Watukufu aliowaachia ambao wamejipa Uungu Mtu, Ngoja tuone Mwisho wao.
================

Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Aisha Machano, ambaye anadaiwa kutekwa na kuteswa na baadae kuokotwa kwenye pori la Kibiti, akizungumza tukio zima mara baada ya kuachwa porini Kibiti na kisha kujikuta Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala ambapo alipatiwa matibabu.

Tukio hilo la kutekwa na kuokotwa kwa kiongozi huyo wa Baraza la Wanawake la Chadema Taifa, lilitokoa jana tarehe 19 Oktoba 2024, Kibiti mkoani Pwani na tayari jeshi la polisi limeshatoa taarifa ya kuanza kwa uchunguzi wa tukio hilo.

Soma Pia: Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya

Utawala wa IBILISI huu, ccm ni mashetani kabisa
 
Kama ni kweli hili tukio acha tu atekwe na wajinga wenzake. Mnachoma kangaa mlizopewa kwa heshima miaka mitatu iliyopita na mtu mlikaribisha wenyewe na wenzenu wanakuteka kiongozi wa wachoma kanga yenye picha ya mtu wao aliyowapa kanga hizo. Yaani wote wajinga tu.
Vinginevyo labda tukio hili liwe tukio la chadema la kutengeneza mazingira kuzuga ili kuenesha kwa mabeberu wenye kutafuta sababu ya kuingilia mambo ya tanzania kwamba hakuna uchaguzi wa haki wapinzani wanatekwa.
Sio bure utakua unalwafi
 
Tumia akili JPM alijua vema kuwa adui no .moja ni ccm ndiyo maana alikuwa tofauti na wanafiki wote ...waovu waliokuwa ndani ya ccm walimchukia na kuwatum8a chadema kupambana naye ...wenye akili tuliwakumbusha chadema watambue kwanini jpm anapigwa vita hadi na watu ndani ya ccm ...kwa kifupi chadema ni wapumbavu
Sasa hii ndiyo akili kweli unayo jivunia wewe?

Ni wazi hata hujui unacho zungumzia. Eti watu waliomo ndani ya CCM, wakifanya kazi na Magufuli, ndio wawe wa kuwatumia CHADEMA kumhujumu Magufuli?
Una maana Magufuli mwenyewe hakuwa na akili?
Ndiyo maana kakaa na makamu wake miaka yote bila kujuwa huyo makamu ni mtu wa aina gani? Magufuli angerudi leo hii kweli angetambua chochote kinacho fanywa na aliye wahi kuwa makamu wake na viongozi wengine alio fikiri wananmsaidia kutekeleza mipango ya serikali yake?

Sasa wewe, unakuja hapa na lawama juu ya CHADEMA na huoni chochote toka huko huko ndani ya CCM?
 
Wewe akili yako ndogo...ndani ya ccm kuna wazalendo kuliko vyama vya upinzani na ndani ya ccm kuna wahuni na wahalifu na mafisadi kuliko sehemu yoyote ....chadema ilitumika kijinga sana na sasa mbowe na tundu lissu wameanza kujuta ...chadema ilitumia hadi kuponda maendeleo aliyo.kuwa anayafanya JPM kwa bidii kubwa sana ...swali je leo samia anafanya nini cha maendekeo ila chadema wanatekwa na kuuliwa kila kukicha na magenge ya mauaji yanazidi kuundwa ndani ya serikali ya samia na ndani ya ccm shikeni haya maneno yangu .....wakina Nape waliwatumia chadema na kujidai kuunga mkono uhuru wa vyombo vya habari je baada ya jpm kufariki uhuru walio.kuwa wana uhubiri wameuleta nchini .....ujiulizi tu ni kwanini ....kumbuka kuwa jambazi uchukia bunduki pale tu bunduki hiyo inapokuwa dhidi yake na kuipenda bunduki hiyo hiyo inspokuwa mikononi mwake .....CCM waliokuwa wanampinga jpm wakashirikiana na chadema walikuwa wanaitumia tu chadema na kumwita magufuli muuaji kumbe lengo.lao siyo kupinga huuaji bali ni kuipsta silaha ya mauaji ili nao wafanye mauaji tena yaliyo kinyume na haki tofauti na Zjpm aliye fanya mauaji kwa haki ....magaidi ya kibiti yaliuliwa sana tu ...majambazi yaliuliwa sana tu ...waua aldino waliuliwa sana tu wauza madawa ya kulevya waliuliwa sana tu kipindi cha jpm ndiyo maana ujambazi ...mauaji ya aldino na mateja yakakoma nchini ila kwa sasa waliopo madarakani wanaua kila anaye pambana na uovu ....wanawaita kuwa ni sisimizi tu wakuuliwa .
 
Duh

Kumrekodi mama wa Kiislam akiwa mtupu ni Dhambi mbaya Mno mbele ya maulana 🐼
Siyo kila mtu ana Nia ya kukutana na maulana siku ya mwisho, wengine wanataka kwenda kwa mpinzani wa maulana
 
Ni ama hujui kitu au unajaribu kudanganya wajinga. Wewe ndo unajaribu kupotosha watu humu
Tatizo lake wewe unaendeshwa na mwemko mimi nimesema kuwa hebu CDM wachunguze kwa kina kama hakunavmamluki ndani ya Chama chao wanao toa nyendo za viongozi wao hili ni jambo la kawaida kabisa duniani kote. Hata kwenye vyama vya Felimo na swapo mambo kama hayo yalikuwepo, sawa wewe unakuwa mkali kama pilipili. Unadhani CDM wote ni malaika. Tunajua wanatekwa na kupotezwa kweli, ila nimetoa ushauri, humo ndani ya chama chao pia kunauwezekano kuna watu wanawauza.
 
Alivuliwa au alivua mwenyewe? Kibiti kilimpeleka nini? Mwanamke wa kiislamu wa kizanzibari? Mmmmm

Isije kuwa hakukulipwa akaamua kuwawashia moto hao waliokataa kumlipa baada ya kumaliza mambo yao
 
Back
Top Bottom