TANZIA Aisha Madinda afariki dunia

"hakika ukumbusho huwafaaa walioamini!" afu mamaafacebook samahani kule nikiangalia sioni vizuri, kule kwenye avatar yako, naiona purple kwa mbaaali, nisaidie!

mbona naona kitanda kikiwa kimenakshiwa poa tu pink ndo naona labda purple Zulia chini ndo naona
 

haya tumekusikia sasa tuwekee kale kavideo kake kalikozagaa mtaani..
 

heeee makubwa
 
Mkuu GENTAMYCINE, hii aina mchango wako haipendwi na wengi hapa Bongo na sio ajabu ndicho kimepelekea huu ugonjwa utake kutumaliza. Sisi huku kwetu mwanzoni tuliweka siri lakini ukweli ulipoanza kusemwa ndio watu wengi wakaanza kushtuka japo tulikuwa tumechelewa sana.
Bora umewaeleza ili aliye na macho aone na aliye na masikio asikie na wa kujilinda ajilinde badala ya kuendeleza maafa kwa kigezo cha starehe. Ngoja tusubiri statement ya kwenye mazishi kama watasema kilichopelekea haya mauti,
R.I.P mpendwa wetu Aisha.

 

JF naikubali kwa habari za kijasusi hapa utajua kila kitu
 
Mkuu GENTAMYCINE umenitisha sana yaani hili gonjwa sijui nani kalitengeneza mbaya zaidi limewekwa mahali patamu rejea hotuba ya Sheikh Mwinyi ilikuwa ina ukweli mkubwa.

 
Last edited by a moderator:
Yeah uko sahihi mkuu UWAZI ungesaidia kwa asilimia kubwa kupunguza maambukizi.
​R.I.P Dada.
 
Daah yani wabogo ni shidah utata gani tena? eti nimesikia kwenye radio clouds kuna dada aliye kuwanae mwishoni na kutoa taarifa za kifo yuko police oysterbay that is NONSENSE!!!!! let her rest in peace!!!
 
Ameifanya unenguaji twanga kuonekana ni classic akiwa na liliane internet na jesca charles
 
Dah,haya wanamuziki na mapedezeee kazi kwenu,ukihesabu wanamuziki na wasanii kwa ujumla ambao ngwengwe kimekuwa chanzo utasikitika sana,starehe za muda mfupi zinawamaliza na bado zitazidi kuwatafuna ..R.I.P Max na Tx Moshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…