TANZIA Aisha Madinda afariki dunia

TANZIA Aisha Madinda afariki dunia

Huyu dada alikua mtaalam wa Mugongo Mugongo dance + Malewa



R.I.P
 

10422484_10205297856756747_4857478109369957553_n.jpg
 
Nafasi ya kurehemewa bado anayo.
Na sababu kubwa ni kumkubali MUNGU MMOJA TU! na sio miungu watatu au wawili.

Uzinifu au ulevi ni mapungufu ya ubinaadamu.
Cha muhimu je alikufa akiwa na Imani ya MUNGU MMOJA?

mfyuuu pumba tupu.No wonder mmejaa magerezani kumbe mmevimbishwa kichwa hata mkitenda dhambi mtarehemiwa kisa waislamu.shame
 
Masikini Aisha!Dah....pumzika kwa amani!
 
Back
Top Bottom