TANZIA Aisha Madinda afariki dunia

R.I.P Aisha
Hivi ndo yule mnenguaji au?maana Aisha madinda na asha baraka majina yao huwa yananichanganya

dar, hizi taarifa ndo nazipata leo aiseh, inauma sana kwa kwel, wapi ray c
 

Mungu wangu!
 
Nimemsikia Ray c analia redioni leo kwamba amechelewa kidogo kufika mwananyamala kuchukua dozi ya matibabu ya uteja,wamemnyima dawa. Sasa alikua analia kama mtoto mdogo. DahTTaifa linaangamia jamani.
 
ulifunguka sana hapa
 
ulifunguka sana hapa

Kama ' kawaida ' yangu kwani huwa sipendi ' unafiki ' na ' kuficha ficha ' vitu ambavyo ' kimsingi ' vipo tu wazi. Mkuu naona ' umeamua ' kupitia posts zangu mbalimbali tokea nianze kuwa Member humu JF kwani hii kitu ni ya ' zamani ' mno. Nakutakia kila la kheri katika ' juhudi ' zako za kunifuatilia na kunifanyia ' ushushushu ' wa ki ' v.i.p '.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…