Pampula jr
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 606
- 192
Imeandikwa kila nafsi itaonja mauti. na kwa hakika umauti ni mawaidha tosha kwa wenye kuamini.maisha ya duniani ni mafupi sana ila wanadamu tunajisahau sana na maisha haya ya mpito. anza leo kumuabudu Muumba wako usisubiri kesho huenda sasa hivi ndio ikawa pumzi yako ya mwisho.
Samahani
Naomba kuuliza alikuwa nani na alikuwa anafanya nini?
Ni kiongozi gani atatuwakilisha kwe Mazishi?
Usamehewe bure.
Amina...