Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mkuu umehamia Arusha?!
hapana mimi bado nipo kimanzichana namiliki mabanda ya kuonesha video na duka la dawa za jadi na vifaa vya kwenda kulogea, mayai viza, ubani maka and likes
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umehamia Arusha?!
dont dare,wenyewe wanateseka sana aisee,nimefanya kazi na moja ya ngo
inashughulika na mambo ya drugs wao wenyewe wanalia bana
Jamani kafa, nilimkosa kidogo kabla ajaanza kubwia. Uwiii Maskini Asha wangu jamaaaaani!!!!!!
Jamani kafa, nilimkosa kidogo kabla ajaanza kubwia. Uwiii Maskini Asha wangu jamaaaaani!!!!!!
kuna mdau amepost kuwa amekufa kwa ngoma, kama ni kweli umenusurika mkuu