ZionTZ
JF-Expert Member
- Oct 6, 2009
- 1,283
- 541
Nimesoma thread ya huyu mnamwita "celebrity" aunt ezekiel...
watu wengi walionyesha kutowakubali "macelebrity" wa kibongo
mi nawaunga mkono sana, em angalieni haya madudu mengine
ya huyu mnamwita "celebrity"....mungu atusamehe...!
Gazeti 5 Star katika kuhabarisha kwa wakati muafaka, Ijumaa Wikienda, lina maelezo full story kuhusu maisha ya Aisha nchini Afrika Kusini na jinsi alivyojikuta akiingia kwenye masahibu hayo.
Gazeti ndugu na hili, Ijumaa, lilikuwa la kwanza kuandika habari ya Aisha kukumbwa na balaa la kufungulia mwaka wa 2010 akiwa Sauzi, katika toleo lake la Ijumaa iliyopita, namba 651, Januari 1-7, 2010.
Ijumaa liliandika kuwa Aisha, akiwa Sauz, amekuwa muumini mzuri wa vitendo vya starehe, ikiwemo kutumia dawa za kulevya, hivyo kujikuta akibebwa na wanaume na matokeo yake kushindwa kuukontroo mwili wake.
Ijumaa Wikienda linakwenda mbele zaidi kwa kuweka kila kitu kweupe kwamba, wakati Aisha anasafiri kwenda Sauz, alifikia kwa mwenyeji wake wa kike ambaye ni rafiki yake.
Akiwa huko, mbali na mwenyeji wake, pia alikutana na baadhi ya Watanzania wanaoishi nchini humo ambao walikuwa kampani moja, hivyo kulizoea Jiji la Pretoria ndani ya kipindi kifupi.
Chanzo chetu kinatupasha kuwa, hatari iliyokuwa kwa Aisha ni kwamba miongoni mwa marafiki aliokutana nao, wengine ni walevi wa kutupwa na watumiaji wa mihadarati, kitu ambacho kilizidi kumuweka mnenguaji huyo matatizoni.
Mimi nilipata bahati ya kuwa naye karibu, kwahiyo niliweza kumshuhudia akitumia kiasi kikubwa cha pombe na kuna shaka kwamba huwa anatumia dawa za kulevya kwa sababu niliambiwa kuwa akiwa Bongo huwa anatumia, kilisema chanzo chetu na kuongeza:
Kingine ni kuwa wakati Aisha anazibuka Sauz, kuna Wabongo waliweza kumuona na wakawa wanammezea mate, si unajua akiwa Bongo ni staa? Kwahiyo wao walitaka kuwa naye kwa lengo tu la kuweka chata, kwenye kumbukumbu zao, ionekane wamewahi kutoka na staa.
Habari zaidi zinasema kuwa, kutokana na kampani yake mbovu na tabia ya ulevi, Aisha alionekana ni mwanamke luzi, hivyo wadau wakaanza kuweka mitego kumnasa.
Hiyo ndiyo sababu ya kumrekodi na kuna video ambazo amerekodiwa akiwa hajijui, lakini nyingine anajua kabisa, alisema mtoa habari wetu.
Katika ushuhuda wa Ijumaa Wikienda, uchukuaji wa video na picha hizo, umetekelezwa na watu si chini ya wawili, mmoja ni Mtanzania (haina shaka), mwingine raia wa Afrika Kusini, mkazi wa Jiji la Pretoria.
Kutokana na ushuhuda huo, ipo shaka kuwa Aisha alifanya mapenzi na wanaume wawili, Mtanzania huyo na mwenzake Msauz ambao walishirikiana kumpiga picha za video na mnato.
Kwa upande wa Msauz huyo, anaonekana vizuri kwenye video hiyo, lakini Mtanzania yeye anasikika sauti, akimhoji Aisha kuhusu safari yake ya Afrika Kusini na maisha yake kwa jumla.
Wakati sauti ya Mtanzania huyo ikisikika ikimhoji Aisha, mnenguaji huyo anaonekana kideoni akijibu maswali yote ya Mtizedi mwenzake kwa hasira.
Aidha, video hiyo inaonesha kwamba wakati Aisha anajibu maswali, ni wakati huo huo anavaa nguo, kitu ambacho kinatoa walakini kuwa na Mtizedi huyo alihusika kitandani na mnenguaji huyo ndiyo maana aliweza kujiamini na kujiachia mbele yake.
Habari nyingine zinadai kuwa Mtizedi huyo na mwenzake wa Sauz, waliamua kumfotoa Aisha, baada ya kumuona amezibuka, hivyo wakataka kuwapasha habari Watanzania kuhusu staa wao na madudu anayoyafanya nchini humo.
Hata hivyo, chanzo chetu kilisema kuwa kuna uwezekano Mtanzania aliyehusika na mchezo huo, anajulikana nchini ndiyo maana hakutaka sura yake ionekane, wakati mwenzake wa Sauz, yeye aliweza kuuza nyago.
Mbali na hizo, pia zipo habari zinazodai kuwa, kuna mtu ambaye alipanga kufunga ndoa na Aisha, huyo ndiye aliyegharamia safari ya mnenguaji huyo Sauz na kukumbwa na maswahibu hayo.
Ijumaa Wikienda lilitonywa kuwa, baada ya mchumba huyo kuambiwa ameingia choo cha kike kwamba Aisha si mwanamke sahihi wa kuoa, aliamua kumpeleka Afrika Kusini ambako alikodi watu, waliompa pombe na unga kisha kumrekodi.
Lengo lake lilikuwa ni kumkomoa kwa sababu ametumia pesa nyingi kumhudumia lakini alichokiambulia ni mateso ya moyo, leo yupo na huyu kesho yule, kwahiyo akamchezea sinema hiyo kisha wakaachana huko huko Afrika Kusini, alisema mtoa habari wetu mwingine na kuongeza:
Baada ya kuachana, jamaa akamtimua, kwahiyo Aisha akaamua kuangalia ustaarabu mwingine kwa Wabongo wengine wanaoishi Pretoria, pia yeye mwenyewe alikuwa na akiba ya fedha ndiyo maana hakuadhirika.
Akizungumza ndani ya video hiyo, Aisha anasema huku akisikitika kuwa watu wanampakazia kwamba alichukuliwa na mwanaume kwenda Afrika Kusini na baadaye akamtelekeza, hivyo hana mbele wala nyuma.
Najua hayo ni maneno ya magazeti tu, hata Asha Baraka alinipigia simu, akaniambia anitumie nauli ya kurudi nyumbani, mimi nikamjibu kama nimepata nauli ya kuja, nitashindwa nauli ya kurudi? Anahoji Aisha katika video hiyo.
Chanzo: Ijumaa Wikienda