Aisha madinda

Mr. Wise

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2012
Posts
7,733
Reaction score
6,469
Hivi yuko wapi na anafanya nini kwasasa aliyekua mnenguaji maarufu wa Twanga Pepeta!!alikua ana umbo fulani Hivi, akianza kukata mauno utaitazama tu Twanga.
 
Kuna Asha Baraka sijui ndo huyo huyo,niliona GPL kaolewa majuzi.
 
Last time ilisemekana amezidiwa na ngada.
 
Ni teja sikuiz na kazi imemshinda Asha Baraka kajitajidi kumlinda na kumtunza nyumbani kwake na kumtafutia daktari ila rehab ikamshinda akatoroka kwake sasa yupo tu vijiwe vya wauza unga. Watoto wake siku nyingine wako busy kumtafuta mama yao.
 
Hivi yuko wapi na anafanya nini kwasasa aliyekua mnenguaji maarufu wa Twanga Pepeta!!alikua ana umbo fulani Hivi, akianza kukata mauno utaitazama tu Twanga.
anaumwa sahvi....alikuaa anatumiaaa drugs sjui kaachaa au la kweli kalikuaa kana shepu mguuu mguu ---- ----....teception nayo balaaa sema maunga yalimpoteza.
 
Alikuwa na nyumba 2 hapa dsm,zote kauza ili ale sembe kwa kujinafasi....
 
Alikuwa na nyumba 2 hapa dsm,zote kauza ili ale sembe kwa kujinafasi....
alikuaga na jamaa yake alikua anauza sembe..ila naye mtumiaji..basi walikua wanajifungia ndani wana ramba tuuu mambo....
 
Kajiharibia mwenyewe..Ninayo Video yake aliyojiachia u.chi ...daah!! sijui nani alimdanganya 🙁

Huo ni msongo wa mawazo..Atulie ajipange upya..
 
ni teja sikuiz na kazi imemshinda asha baraka kajitajidi kumlinda na kumtunza nyumbani kwake na kumtafutia daktari ila rehab ikamshinda akatoroka kwake sasa yupo tu vijiwe vya wauza unga. Watoto wake siku nyingine wako busy kumtafuta mama yao.

nilisikia ameokaka.
 
Unga umempeleka yule dada sehemu mbaya sana ila nasikia yuko rehab anapambana kuacha kula sembe Mungu amuongoze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…