Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilienda siku moja twanga....mh yule dada ana viuno hatari....No yupo Mnenguaji mmoja hivi alikua hatari jukwaani kwa maviuno
Mkuu bado sijakupata unaweza funguka zaidi
Mkuu bado sijakupata unaweza funguka zaidi
anaumwa sahvi....alikuaa anatumiaaa drugs sjui kaachaa au la kweli kalikuaa kana shepu mguuu mguu ---- ----....teception nayo balaaa sema maunga yalimpoteza.Hivi yuko wapi na anafanya nini kwasasa aliyekua mnenguaji maarufu wa Twanga Pepeta!!alikua ana umbo fulani Hivi, akianza kukata mauno utaitazama tu Twanga.
alikuaga na jamaa yake alikua anauza sembe..ila naye mtumiaji..basi walikua wanajifungia ndani wana ramba tuuu mambo....Alikuwa na nyumba 2 hapa dsm,zote kauza ili ale sembe kwa kujinafasi....
Kajiharibia mwenyewe..Ninayo Video yake aliyojiachia u.chi ...daah!! sijui nani alimdanganya 🙁
Huo ni msongo wa mawazo..Atulie ajipange upya..
ni teja sikuiz na kazi imemshinda asha baraka kajitajidi kumlinda na kumtunza nyumbani kwake na kumtafutia daktari ila rehab ikamshinda akatoroka kwake sasa yupo tu vijiwe vya wauza unga. Watoto wake siku nyingine wako busy kumtafuta mama yao.
Kuna Asha Baraka sijui ndo huyo huyo,niliona GPL kaolewa majuzi.