KabisaaaKazi sasa kuvitendea haki vyeti vyao vya ubaharia π
Acha basi mtakuwa mnafahamiana basi π DarlinKalimeng'enye toto zuri hilo.. Litakupa yoote mzeee wewe tu
Lakn we ndio utakuwa una roho mbaya siunaona mwamba juu hapo kanipa sifa zako kuwa toto zuri πAkhuuuuu mie simjui huyo kiazi ananingβangβania mie simtakiπ
Mbona una kiherehere hivo we kakaUnaenda tunukiwa mzee dah! Utafaidiππ
Usimsikilize huyo kiazi mbatata jamanLakn we ndio utakuwa una roho mbaya siunaona mwamba juu hapo kanipa sifa zako kuwa toto zuri π
Baaaaas babe ntakuwa nakusikiliza wewe tu sawa eeeeeh πUsimsikilize huyo kiazi mbatata jaman
Baaaaas babe ntakuwa nakusikiliza wewe tu sawa eeeeeh [emoji8]
Uko wapi nikaazime gari twende tukatembee π ela ya mafuta si utakuwa nayo lakn π[emoji7][emoji7][emoji7]sawa laaziz
Mbona hili penzi jipya ni la aina yakeπππtutafika kweli jamanUko wapi nikaazime gari twende tukatembee π ela ya mafuta si utakuwa nayo lakn π
KUWA Makini Yasije Kukupata Ya Katibu Wa Fiil Frii ChachiMbona shanga siziono mkuu?
Nitakuongezea tena sio utaniongezea π aina noma tutaweka ya elfu 3 hayo hayoMbona hili penzi jipya ni la aina yakeπππtutafika kweli jaman
Njoo tu nina aftatu kwnye pochi utaniongezea hapo
Yakiisha tutamkopa National Anthem na roho mbaya yake sijui kama atalisaidia penzi letuπNitakuongezea tena sio utaniongezea π aina noma tutaweka ya elfu 3 hayo hayo
Zana za kivita unaenda tena kuomba kwa adui πYakiisha tutamkopa National Anthem na roho mbaya yake sijui kama atalisaidia penzi letuπ
Tutatembea hata kwa miguuπ
Halafu kweli jaman tutapambana wenywe laazizZana za kivita unaenda tena kuomba kwa adui π
Weeeeee usiniite hivyo utafanya nizimie kwa presha πHalafu kweli jaman tutapambana wenywe laaziz
November hawapatikani maana boom limesoma, january huwa mbaya sana, wanakuwa na njaa mnoSurvey kumepoa saivi wote wako mikoani kwao. Subiri November ifike maana naona kichupa kimekujaa[emoji38]
Kabisa mkuu, ππ anataka kidhibiti mwendoAnazidisha mitego sana siku hizi unadhani anatafuta nini ss π
Ebu usinisumbue umetumwaa nini, nimelala zangu hapa vizurii, nilikuwa naota nipo na soph wa amelowaaππππYakiisha tutamkopa National Anthem na roho mbaya yake sijui kama atalisaidia penzi letuπ
Tutatembea hata kwa miguuπ
Kampe utamuu wote ππMbona una kiherehere hivo we kaka
Unataka kuniharibia penzi langu changaπ