Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
KabisaaaKazi sasa kuvitendea haki vyeti vyao vya ubaharia 😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaaaKazi sasa kuvitendea haki vyeti vyao vya ubaharia 😆
Acha basi mtakuwa mnafahamiana basi 😆 DarlinKalimeng'enye toto zuri hilo.. Litakupa yoote mzeee wewe tu
Lakn we ndio utakuwa una roho mbaya siunaona mwamba juu hapo kanipa sifa zako kuwa toto zuri 😋Akhuuuuu mie simjui huyo kiazi ananing’ang’ania mie simtaki😒
Mbona una kiherehere hivo we kakaUnaenda tunukiwa mzee dah! Utafaidi😒😒
Usimsikilize huyo kiazi mbatata jamanLakn we ndio utakuwa una roho mbaya siunaona mwamba juu hapo kanipa sifa zako kuwa toto zuri 😋
Baaaaas babe ntakuwa nakusikiliza wewe tu sawa eeeeeh 😘Usimsikilize huyo kiazi mbatata jaman
Baaaaas babe ntakuwa nakusikiliza wewe tu sawa eeeeeh [emoji8]
Uko wapi nikaazime gari twende tukatembee 😃 ela ya mafuta si utakuwa nayo lakn 😙[emoji7][emoji7][emoji7]sawa laaziz
Mbona hili penzi jipya ni la aina yake😆😆😆tutafika kweli jamanUko wapi nikaazime gari twende tukatembee 😃 ela ya mafuta si utakuwa nayo lakn 😙
KUWA Makini Yasije Kukupata Ya Katibu Wa Fiil Frii ChachiMbona shanga siziono mkuu?
Nitakuongezea tena sio utaniongezea 😄 aina noma tutaweka ya elfu 3 hayo hayoMbona hili penzi jipya ni la aina yake😆😆😆tutafika kweli jaman
Njoo tu nina aftatu kwnye pochi utaniongezea hapo
Yakiisha tutamkopa National Anthem na roho mbaya yake sijui kama atalisaidia penzi letu😒Nitakuongezea tena sio utaniongezea 😄 aina noma tutaweka ya elfu 3 hayo hayo
Zana za kivita unaenda tena kuomba kwa adui 😄Yakiisha tutamkopa National Anthem na roho mbaya yake sijui kama atalisaidia penzi letu😒
Tutatembea hata kwa miguu😎
Halafu kweli jaman tutapambana wenywe laazizZana za kivita unaenda tena kuomba kwa adui 😄
Weeeeee usiniite hivyo utafanya nizimie kwa presha 🛌Halafu kweli jaman tutapambana wenywe laaziz
November hawapatikani maana boom limesoma, january huwa mbaya sana, wanakuwa na njaa mnoSurvey kumepoa saivi wote wako mikoani kwao. Subiri November ifike maana naona kichupa kimekujaa[emoji38]
Kabisa mkuu, 😂😂 anataka kidhibiti mwendoAnazidisha mitego sana siku hizi unadhani anatafuta nini ss 😃
Ebu usinisumbue umetumwaa nini, nimelala zangu hapa vizurii, nilikuwa naota nipo na soph wa amelowaa😒😒😒😒Yakiisha tutamkopa National Anthem na roho mbaya yake sijui kama atalisaidia penzi letu😒
Tutatembea hata kwa miguu😎
Kampe utamuu wote 😑😑Mbona una kiherehere hivo we kaka
Unataka kuniharibia penzi langu changa😒