enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Hahahaha keyboard warrior sasa konde boy ameshuka kiwango kiajeSiku Ihefu Manula alikuwa ndio nyota wa mchezo angepangwa Kakonya huyo Barbra wenu angechapwa bakora. Kimsingi Manula anabebeshwa lawama za bure. Timu nzima ni zero. Hata Konde Boy ameshuka kiwango.
Kama Manula ni mzembe, unadhani Simba wasajili kipa gani bora anayesubiri krosi hapa nchini?....Nafikiri kuna vitu viwili hapa aidha kocha wa makipa pale Simba ni bomu au Manula mwenyewe ni mzembe kufanyia kazi yale anayofundishwa na walimu wake kuhusiana na krosi na kona.
Ulitaka awe anafungwa magoli ya aina ngapi? Taja:Tatizo sio kufungwa tatizo ni aina ya magoli anayofungwa ni ya aina moja ndo nilichokizungumzia mimi
Wakatafute pale Mtibwa walipompata kipa wao labda kabaki mwingine kama yeye. Au wasubiri Yanga wawafanyie "scouting" kama kawaida yao.Kama Manula ni mzembe, unadhani Simba wasajili kipa gani bora anayesubiri krosi hapa nchini?
Scouting ya Mtacha na Shikalo hao wa 4G? 🤣🤣🤣Wakatafute pale Mtibwa walipompata kipa wao labda kabaki mwingine kama yeye. Au wasubiri Yanga wawafanyie "scouting" kama kawaida yao.
Umewasahau Meddie, Morison na BwalyaScouting ya Mtacha na Shikalo hao wa 4G? 🤣🤣🤣
Kwani hao ni makipa? Au huelewi mada inavyotiririka?Umewasahau Meddie, Morison na Bwalya
Kama walishawafanyia "scouting" ya hao waombeni safari hii mna shaida ya kipa watawafanyia tu "scouting" kama walivtyowafanyia ya Beno.Kwani hao ni makipa? Au huelewi mada inavyotiririka?
Hakuna kombe wala bingwa anayetangazwa kwa kufanya scouting. Utaishia kujivunia kuwa mimi nipo bora katika scouting, wenzako wananyanyua vikombe kila mwisho wa msimu. Tena hao unaofanyia scouting wanaenda kujiunga bure kabisa, sasa sijui faida ya scouting ni ipi! Scouting wameachiwa mawakala, klabu kazi yake ni kuwa na timu inayofikia malengo yake, otherwise labda uniambie malengo ni kufanya scoutingKama walishawafanyia "scouting" ya hao waombeni safari hii mna shaida ya kipa watawafanyia tu "scouting" kama walivtyowafanyia ya Beno.
Pazia hilo.Habari za weekend wakuu,
Ni siku nyingine tena natumai ni wazima wa afya na mnaendelea na majukumu ya kila siku vizuri pamoja na walio mapumnziko.
Wakuu Kuna hili tatizo linalojirudia la huyo kipa anayeitwa (Tanzania one) na hakuna matumaini ya kuisha au kupungua kwani tatizo hili ni la mda mrefu Sana kwa kipa huyu wa club ya SIMBA.
MANULA ni dhaifu sana kwenye mipira iliyokufa (set pieces) na mipira ya mbali ambayo inaonekana Ina mpa shida kwa mda mrefu Sana, udhaifu huo ndio chanzo Cha SIMBA kupoteza michezo ya kimataifa kwa idadi kubwa ya magoli kutokana na tatizo Hilo la mda mrefu linalomtesa kipa huyo.
Jana SIMBA walikuwa na michezo wa ligi kuu dhidi ya MTIMBWA SUGER na kutoka sare ya bao moja kwa moja Ila mazingira ya goli alilofungwa MANULA ni aina ile ile ya magoli anayofungwa kila siku kwa makosa yale ya kutoka golini bila kuangalia movement za mabeki wake.
Hili tatizo ni la defense nzima ya simba kwa ujumla japo MANULA ndo muhanga wa mipira hiyo kwani anakosa, mawasiliano na mabeki Wake, tatizo Kama Hilo lilikuwa lina wasumbua Sana LIVER POOL msimu wa 2017/2018 - japo kuwa wenzetu huwa wana fanya match assessment, na seoson assessment ambapo ni tofauti na kwetu Ila walipunguza tatizo Hilo baada ya kumsajili VIRGIL VAN DIJK msimu ulio fuata na kufanikiwa kupunguza tatizo hilo.
Mlio karibu na kocha wa SIMBA wa makipa mumpe taarifa kwamba CCL zile tano kuna uwezo mkubwa wa kujirudia na zaidi Kama tahadhari zisipo chukuliwa mapema.
By- shabiki wa damu
Anafungwa Menddy ije kuwa Manula???SIMBA ni ile ile na tatizo lile miaka miwili imepita aina ya magoli anayofungwa simba ni ile ile hivi simba wana mechi analyst kweli anayewasaidia kutatua matatizo kwenye timu yao.