Aishitaki hospitali na kudai fidia ya Ksh 6.4 baada ya nesi ambaye ni "Ex wake" kumshona kihuni

DIDAS TUMAINI

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2014
Posts
242
Reaction score
676
Kijana Evans Mutugi ameishitaki Hospitali ya Maura nchini Kenya kwa kitendo cha yeye kufanyia ushonaji usio kuwa wa kibinadamu na nesi ambae anadaiwa kuwa aliwahi kuwa mchumba wake (ex-girlfriend).

Tukio hilo la kustaajabisha lilitokea Jumatatu iliyopita, Novemba 8, 2021 baada ya Mutugi kupelekwa hospitalini hapo kwa matibabu ya dharura baada ya kupata ajali ya pikipiki siku ya Jumamosi, Novemba 6, 2021 majira ya mchana ambapo alipokelewa na kuhudumiwa na nesi huyo aitwaye Rose Kagwira (ex-wake).

Mutugi kupitia wanasheria wake wa John & K company ameishitaki hospitali hiyo na kudai fidia ya kiasi cha Ksh milioni 6.4 sawa na Tsh milioni 131.66.

FB_IMG_1636979277122.jpg
 
Very sad situation.
 
KIJANA Evans Mutugi ameishitaki Hospitali ya Maura nchini Kenya kwa kitendo cha yeye kufanyia ushonaji usio kuwa wa kibinadamu na nesi ambae anadaiwa kuwa aliwahi kuwa mchumba wake (ex-girlfriend).

malunde.com
Screenshot_20211116-083025~01.jpg
 
View attachment 2012394
Kwani nesi anashona?
 
Duuh! Sio kwa kushonwa hvyo!!

Kuna namna. Jamaa angeomba fidia ya billion kabisa, maana huo Ni uhuni na makusudi!

Toka lin nurse akaingilia mambo ya surgery na suture??
Labda mtaala wa wakenya
 
Wanawake sio watu wa mchezo mchezo yan ningekua mim ningemshona na jicho yan angefurahi [emoji28]
 
Sheria zake. Hata km ni mgoni wako inatakiwa umhudumie
Baada ya mgonjwa kupata matibabu ndiyo mkaendeleze bifu yako. Kwani mapenzi ni lazima? Tumekutana ukubwani, ukiachwa, achika. Kwani yeye ameacha wanaume wangapi?
Wanawake sio watu wa mchezo mchezo yan ningekua mim ningemshona na jicho yan angefurahi [emoji28]
 
Mhh hapa nawaza tu kama jamaa angekuwa nusu kaputi angeshonwa hadi govi, hadi kinyeo🤔🤔
 
0295dc0179b48fd2aa58672a4de166f8

Back
Top Bottom